Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?
Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
"Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote;
👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi
👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba
👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya.
Jaji Warioba amesema kuna...
Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
Na Mwandishi Wetu,
Dodoma.
Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Ndg. Shaka Hamdu Shaka, amesema Serikali ya CCM inatambua na kuthamini mchango mkubwa unatolewa na...
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi.
- Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi.
"CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake.
Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa.
Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19BioNTech.
Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19.
Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.