kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape Nnauye umeona kombe la dunia ndiyo kipaumbele kuliko matatizo mengine?

    Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea. Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Kifaransa kilipewa kipaumbele kufundishwa na siyo Kihispania?

    Kitu huwa nashindwa kuelewa Kwa Nini vijana wetu tunalazimisha kujua lugha ngumu ya kifaransa. Katika lugha rahisi kujifunza ni kihispania ndiyo ya Kwanza duniani kwa urahisi. Lugha ya kifaransa inaeleweka mno hasa Kwa Swahili na English speakers, maana maneno Yake unatamka au kusoma kama...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania Kifaransa kilipewa kipaumbele kufundishwa na siyo Kihispania?

    Kitu huwa nashindwa kuelewa Kwa Nini vijana wetu tunalazimisha kujua lugha ngumu ya kifaransa. Katika lugha rahisi kujifunza ni kihispania ndiyo ya Kwanza duniani Kwa urahisi. Lugha ya kifaransa inaeleweka mno hasa Kwa Swahili na English speakers, maana maneno Yake unatamka au kusoma kama...
  4. Orosso

    JamiiForums Tanzania Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Natoa hoja: Ifike wakati soka la wanawake kitaifa lipewe kipaumbele kuliko la wanaume

    Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake. Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
  6. 0

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya vitendo ipewe kipaumbele sana kuliko elimu ya nadharia

    UTANGULIZI Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi. ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  8. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Kwanini waume wa Marais wa kike hawapewi kipaumbele na jamii?

    Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE. Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.. Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya imepewa kipaumbele

    Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassam ni ubora wa huduma na sio bora huduma. Watoa huduma za afya watapimwa kwa muda wa utoaji wa huduma za matibabu, vipimo na upatikanaji wa dawa, pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wakina Mama na Watoto. Serikali inajenga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

    Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi. Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yaadhimisha Siku ya Vijana Kitaifa ya Mei 4 ikiweka kipaumbele zaidi kwa vijana

    Vijana ni hazina na nguzo muhimu inayotegemewa na taifa lolote lile duniani. Nchi inapaswa kuweka kipaumbele na kutoa fursa kwa vijana ili waweze kuonesha uwezo wao wa kulitumikia taifa. Tangu enzi na dahari inajulikana kuwa vijana ndio chachu ya uzalishaji, ulinzi wa taifa, siasa, ubunifu na...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kidedea 2025, mambo haya wayape kipaumbele

    Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi. Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo. 1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto halivumiliki. Amuzi Hili liwemo ndani ya wiki ya mwanzo ya Rais wa Chadema 2) Shirika la ndege kuanzisha...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  17. Mwaikibaki

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

    Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka, Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CCM: Watu wenye ulemavu ni kundi muhimu, tutaendelea kulipa kipaumbele

    NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu mbalimbali za maendeleo kwa kuzingatia kundi la watu wenye ulemavu kwa kulijumuisha, kulishirikisha...
Back
Top Bottom