kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aise

    Wazo simple la kujipatia kipato

    Hili ni wazo simple, kwa mtu simple. Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako. Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage 1kg, mchele 3kg na walau robo ya nyama. Nenda asubuhi sana stendi, pika chakula chako, mpaka saa...
  2. N

    Nawakumbusha vijana wa kiume fursa(bigger opportunity) ya kujipatia kipato

    Katika ulimwengu huu Kuna vitu ambavyo vinarun Dunia miongoni mwa hivyo vitu ni pesa na mapenzi. Hivi vitu Kwa Kila kiumbe chenye uhai atajihusisha navyo aidha anataka au Hataki. Ukweli ni Kuwa maisha bila pesa hayaendi as you know sharing is caring Leo hii Mimi Nifanye Nini Nakupa tips kijana...
  3. Tengeneza Njia

    Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

    Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
  4. Lanlady

    Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
  5. JITU LA MIRABA MINNE

    Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  6. S

    SoC02 Ongeza kipato chako kwa kuzingatia njia hizi 3

    Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
  7. Bongo Trust

    Natumiaje kompyuta kupata kipato?

    WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI? Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia...
  8. Carlos The Jackal

    Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.? Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
  9. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  10. Daby

    Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  11. Roving Journalist

    Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
  12. Mdigokhan

    Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  13. Nafaka

    Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

    Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa. Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi. Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
  14. A

    Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
  15. sindiswa

    Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo...
  16. kataip

    Suala la elimu na kipato cha mwanamke na machungu kwa wanaume.

    Habari Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.?? Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili? Naona idadi ya wanaume inazidi...
  17. THE FIRST BORN

    Najiuliza: Kutambua kuwa kipato cha Mmarekani ni kikubwa kuliko cha Mtanzania linahitaji GPA ya 4.5 or Above?

    Eid Pili kwa wote! Nimepita Twitter huko nikakuta kitu cha kushangaza sana nikaja hapa nikakuta kishaanzishiwa uzi nikasema vizuri kabisa kwa sababu nowdyas watanzania hawataki ujinga YES! Watanzania wenzangu hili swala la kutambua kua kipato cha Mtanzania ni kidogo kuliko cha Mmarekani...
  18. dennoo_appliances

    Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot database kama njia ya kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  19. dennoo_appliances

    Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot kwa lengo la kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  20. britanicca

    Kumbe nguvu hizi zaweza kuwa muhimu kupata kipato nikasema naanzisha kundi nalipisha 200 tu kwa Mwezi

    Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi! Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote? Wajua kuna wakuu wa vyama Vya...
Back
Top Bottom