Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,293
8,204
Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia tufanye yafutayo haraka.

Tutengeneze mpango kabambe wa kuwawezesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa.

Tutoe ruzuku kwa ajili ya kupunguza gharama ya majiko ya gesi pamoja na mitungi ya gesi.

Tuondoe kodi katika majiko ya gesi, mitungi ya gesi na gesi yenyewe.
 
Back
Top Bottom