Wazo simple la kujipatia kipato

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,124
11,907
Hili ni wazo simple, kwa mtu simple.

Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako.

Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage 1kg, mchele 3kg na walau robo ya nyama. Nenda asubuhi sana stendi, pika chakula chako, mpaka saa moja chakula kiwe tayari.

Wauzie kwa sahani buku. Hapo usiweke mbwembwe, tia wali na maharage kwa buku, ambaye hatumii maharage mtilie mchuzi wa nyama.

Trust me, huu mchongo unalipa, Wengine tunakunywa chai na chapati kwakuwa hakuna namna.
 
Mtaji wake hauzidi 50,000.
Wewe fanya simple tu kama muuza vitumbua au mchoma mihogo, tia mabenchi yako mawili chini ya mti, au ongea na mwenye flemu uweke mbele yake utakuwa unamtoa kwa siku.
Wewe huumizi kichwa, mpaka saa 4 au 5 umeshafunga ofisi yako kwa ajili ya kupata akili mpya ya kesho.
 
Faida utapata buku.kilo.moja sahani tano maximum
Kilo 3 sahani 15
Mauzo 15000
Matumizi
Mchele kilo 3...7000
Nyama robo....2000
Maharage kilo....2000
Mkaa.........................2000
Mafuta.............1000
Jumla 14000
Maisha sio rahisi hivyo
Maisha ni simple tu mkuu,
Ila ukitaka yawe magumu yanakuwa.
Kama imewezekana kupata faida ya buku, hata faida ya 5000 inawezekana.
Kwahiyo acha kuyafanya maisha yawe magumu.
 
Maisha ni simple tu mkuu,
Ila ukitaka yawe magumu yanakuwa.
Kama imewezekana kupata faida ya buku, hata faida ya 5000 inawezekana.
Kwahiyo acha kuyafanya maisha yawe magumu.
Good motivational speaker
 
Faida utapata buku.kilo.moja sahani tano maximum
Kilo 3 sahani 15
Mauzo 15000
Matumizi
Mchele kilo 3...7000
Nyama robo....2000
Maharage kilo....2000
Mkaa.........................2000
Mafuta.............1000
Jumla 14000
Maisha sio rahisi hivyo
Kabisa jaman, syo rahisi
 
Bei za vyakula za siku hizi unazijua au umeandika tu hiyo Bei ya kuuzia bila kufanya utafiti mdogo tu?
 
Kwanza hili ni wazo kwa mtu ambaye yeye hatafuti hela ya kujenga, anatafuta buku ya kula.
Tangu mwanzoni nimeweka wazi.
Kwa hali ilivyo mtaani unaweza jikuta unapata hasara badala ya faida.
Mambo magumu sana mkuu
 
Bei za vyakula za siku hizi unazijua au umeandika tu hiyo Bei ya kuuzia bila kufanya utafiti mdogo tu?
utafiti Nimefanya tena mkubwa, siyo mdogo.
nimeenda mbagala kuna sehemu wanauza wali na maharage kwa "700" "mia saba"
nakaa kigamboni maeneo kadhaa wakati wa asubuhi wanauza wali na maharage au njugu kwa buku mida ya asubuhi.
isitoshe mimi nimefungua kiofisi changu nauza wali kwa 1200 nawapatia na chai, asubuhi hiyo.
sasa unaposema utafiti sijui unasema nini.

Kwa hali ilivyo mtaani unaweza jikuta unapata hasara badala ya faida.
Mambo magumu sana mkuu

yote nayaelewa mkuu. mimi nakwambia kitu ambacho nafanya, siyo cha kusimuliwa.
kuna sehemu nilienda ugali unauzwa 2000, na mboga ni zile zile sawa na yule anayeuza ugali kwa buku.
kwahiyo msiyafanye maisha kuwa magumu.
maisha ni simple tu.
 
utafiti Nimefanya tena mkubwa, siyo mdogo.
nimeenda mbagala kuna sehemu wanauza wali na maharage kwa "700" "mia saba"
nakaa kigamboni maeneo kadhaa wakati wa asubuhi wanauza wali na maharage au njugu kwa buku mida ya asubuhi.
isitoshe mimi nimefungua kiofisi changu nauza wali kwa 1200 nawapatia na chai, asubuhi hiyo.
sasa unaposema utafiti sijui unasema nini.

yote nayaelewa mkuu. mimi nakwambia kitu ambacho nafanya, siyo cha kusimuliwa.
kuna sehemu nilienda ugali unauzwa 2000, na mboga ni zile zile sawa na yule anayeuza ugali kwa buku.
kwahiyo msiyafanye maisha kuwa magumu.
maisha ni simple tu.
Huo mchele unaouzwa 700Tsh muuzaji anaununu kwa Shingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom