kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Kifedha yanayofanywa na vijana wengi

    1. Kutumia Fedha uliyoipata kabla ya kuweka Akiba: Msemo wa 'Ponda Mali kufa kwaja' au 'Nimepata pesa hii kwa shida, acha nitumie' hupelekea Vijana wengi kufanya Matumizi yasiyo na ulazima na kukosa Akiba 2. Kutupa Risiti (Stakabadhi za Malipo): Unaweza kudhani risiti za vitu unavyonunua hazina...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  4. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Kipato changu kwa mwezi ni 150,000/- nipeni mbinu ya ku-save nami niondokane na umasikini wa kipato

    Najua hili sio jukwaa la uchumi ila kutokana na unyeti wa jukwaa hili maana naamini ndio jukwaa linaloongoza kutembelewa zaidi na watu mbalimbali mmoja wapo Mimi Sasa kama mada inavyojieleza, kutokana na hali halisi ya maisha na ugumu wa ajira nilipata mchongo flani ambao salary yake ndo hiyo...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
  6. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Mbolea bora na utengenezaji wake ni rahisi pia

    Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo hayana ubora kimataifa. Ipo haja ya kuanza kuzalisha mbolea bora za asili kutokana na mimea + wanyama...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  8. Gerald1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuifanya hii biashara endapo nikipata mshirika wa kuniwezesha

    NAOMBA NISAPOTI HARAFU MIMI NITAKUREJESHEA KWA SIKU KAMA MAANDIKO YA KISHERIA YATAVYO SEMA KUTOKANA NA KIASI UTAKACHO TOA.
  9. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  11. safuher

    JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

    Jk
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wachekelea kurudisha walichopoteza. Bei ya mafuta/petrol yazidi kupanda kuumiza maskini/watu wa kipato cha chini

    Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana ujuzi jinsi ya kujipatia kipato kila siku

    Kwema wana jukwaa mko njema Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

    Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

    Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi 1. Chagaz 2.Kingaz 3. Zaramoz Makabila yaliyofulia zaidi 1.Gogoz 2. Kondez 3. Nyirambaz n Iraqis Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye idea kuhusiana na hii kitu atupe elimu yake kidogo

    Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson #MsemajiWaSerikaliPress...
  19. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Banda la biashara linauzwa

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  20. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa kutengeneza kipato mpaka elfu 50 kwa siku

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
Back
Top Bottom