Anataka nijue kipato chake kwa lazima au ni wivu wangu tu?

Kwitogelo

JF-Expert Member
Jan 18, 2023
310
440
Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend!

Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo linamfanya ashindwe kuwa kwenye eneo lake la biashara kila wakati.

Sasa bwana leo tulikuwa mahali tunajadili mambo ya biashara za kufanya,mara akanigusia kuhusu mwenendo wa biashara yake baada ya kutumiwa ujumbe wa ankara ya maji na DAWASCO ya kwenye biashara yake akionesha kusikitishwa na ankara kuwa kubwa yaani bill kuwa kubwa kupita kiasi huku akimtuhum mdogoake kuwa anamuibia sana kiasi cha kuhisi kwamba huwenda alikurupuka kujenga lodge

Nikamuuliza wamekuletea bili ya kiasi gani akanionesha bill ilikuwa inasoma laki moja na elfu saba mia saba sabini(107,770/=) kwa mwezi mmoja. Ikabidi niendelee kumuuliza kuhusu makadilio ya kipato na gharama nyingine za uendeshaji plus kodi za TRA kwasababu huwa ananiambia analipiaga

Akaniambia wastani kwa wiki hukuta hesabu ya 1.2 mil. Inamaana kwamba kwa mwezi ni kama 5.6 mil.

Kwenye hayo makusanyo ya mwezi yeye hulipia bill za maji na TRA tu ikimaanisha kwamba katika hyo 5.6 mil.haihusiani na mshahara wa meneja ambaye ni mdogoa ake,wala mshahara wa watu wa usafi,wala pesa za vifaa vya usafi,wala umeme.

Kwa mchanganuo huo nikaona huyu anataka tu mimi nijue anachopata ili niumie tu kwasababu kwa hesabu za harakaharaka ni kwamba kuna faida kubwa sana hapo anapata.

Tuache kuoneshana misuli ya hela hasa january ngumu kama hii!!!
 
Aisee ur going to live fucking life.
 
Siyo lazima kuchangia kila uzi...ngoja nipite zangu kimyakimya.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
CHUKUA KALKULATE, INGIZA 1,200,000/7 UNAPATA 171,428.57 then gawa kwa vyumba 7 hiyo ulopata inakuwa 24,489.79

chumba kwa siku kinaingiza 25,000.

huenda vyumba vya mwamba ni sh 15,000 na fasta ni 10,000.

hitimisho, kumbe tufungue lodge kuliko za kupangisha.
 
Halafu za kupangisha wapangaji wankuletea maelezo mengi mpaka unaingiwa na huruma
 
Ni wivu wako tu, umeshasema mlikua mnaongelea biashara sasa tatzo nini hapo kakwambia hivyo ili upate hamasa sasa kwakua kichwani umejaza negativity ndio hivyo
 
Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life

Ndugu Kwitogelo, alifanikiwa kutoroka jana hospital na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.

Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu.
FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
Umepata mtu wa kukuongoza na kukupa mwanga wa maisha unaanza wivu
Anaekupa idea na anaekupa hela bora anaekuongezea maarifa

Pambana na wewe uwe unaingiza hata laki kwa siku
Huwezi kupata rafiki wa hivyo kwa hiyo mshukuru sana

Kama huna hela anza kujiwekea na uweke mda hata miaka 10 ijayo na wewe uwe na ya kwako sawa

Pambana mwamba
 
Punguza wivu badala ya kulalama jaribu kufuata nyayo zake
Kua nae karibu zaidi angalau upate abc
 
Back
Top Bottom