Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa?
Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga.
Kama kodi nyingi zinatumika kulisha mahabusu na wafungwa wengi wasio na hatia lipo tatizo kubwa kama nchi kuanza kufundisha elimu ya...
Nini maana ya KIAPO?
Nini maana ya KINGA?
Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga.
Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria.
Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea...
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie.
Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
Ugunduzi wa kundi kubwa la watu ambao miili yao inaweza kupambana na kudhibiti Virusi vya UKIMWI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaleta matumaini ya kupata tiba ya virusi hivyo.
Utafiti umebaini kuwa asilimia 4 ya watu waliokuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini humo wameweza...
Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche ya moto ili vilipuke na kutoa nishati itakayolitembeza gari. Hivyo ni lazima uwe na tank lenye...
Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga.
Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache.
Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.'
Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili.
Kama...
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.
Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance"
Hali ni tofauti kubwa...
Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
Kusema na kueneza uwongo hapa hasa ukiwa chini ya kiapo ni kosa kubwa sana (felony) kwenye nchi yo yote hapa duniani. Na baya zaidi hasa uwongo huo unaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Hata vitabu vitakatifu vya biblia Qurani vinaliorodhesha kosa hili kuwa kati ya dhambi kubwa ambalo adhabu...
MTAALAMU wa masuala ya saikolijia kutoka Chuo Kikuu cha Iringa, Baraka Mushobozi, amesema madhara ya hofu iliyopitiliza kwa binadamu ni pamoja na kushuka kwa kinga za mwili na kuruhusu mwili kushambuliwa na magonjwa.
Akizungumza na MTANZANIA katika Mahojino Maalum jana, alisema watu wengi...
Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
Hii inamaanisha nini?
Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama
Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha?
Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii?
FYI: Ukiachana na gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.