kinga

  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana walipitisha Sheria ya Spika kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, kumbeee!

    Panapoukweli uwongo hujitenga. Ndio maana mihimili mikuu ya dora ni mitatu nayo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Mihimili hii kikanuni na ukweli inapaswa kufanya kazi kwa uhuru, bila kuingiliana ila hufan ya kazi kwa kutegemeana. Kamwe mhimili mmoja usingilie mihimili mingine huo ndo ukweli...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

    Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
  4. escrow one

    JamiiForums Tanzania Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

    Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge? Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

    SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
  6. Mantheman6

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea. Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

    IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno. Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama. Siro ni doa ndani ya serikali.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimechanja Kinga ya COVID-19 na ninavyojisikia

    Baada ya kujihoji na kuangalia matukio na baada ya kupoteza baadhi ya marafiki kwa muda mfupi ambao Vifo vyao Ni kupoteza fahamu ghafla, presha juu, upumuaji wa shida na sukari kujitokeza na kwamba magojwa hayo hawakuwa nayo hapo swali ndipo nilipoamua kuachana na ubishi... Nimepata Kinga ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

    Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sindano inayozua gumzo kwa wachomwaji wa kinga dhidi ya corona.

    Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima. Tuendelee na mada. Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  16. dudus

    JamiiForums Tanzania Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

    Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  19. beth

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Seneti yamuondolea kinga ya kushitakiwa Waziri Mkuu wa zamani, Matata Ponyo Mapon

    PICHA: Waziri wa zamani wa DR Kongo Matata Ponyo Mapon Seneti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuondolea kinga ya kushtakiwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Matata Ponyo Mapon, hatua ambayo inaruhusu uchunguzi wa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma. Wachunguzi wanasema Dola Milioni...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanjo za Corona unatikiwa uchanjwe ‘Booster’ mara 3 ndio uwe na kinga, na si mara 2 kama tulivyoambiwa awali?

    Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga? Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
Back
Top Bottom