kinga

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

    Ninaishi peke yangu inje ya nchi, Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili...
  2. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ikimuamini huyu mwamba wa huko Mtwara hawezi kusaidia kuwaangamiza wasiojulikana na hata kutupa kinga thabiti ya janga la Corona?

    Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria: inaenda kuuwa dhana watu wote kuwa sawa mbele ya sheria. Jaji akikuhukumu ndivyo sivyo anakuwa na kinga huna cha kumfanya

    MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba. Hii inatengeneza tabaka la...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa viongozi baada ya kustaafu haitawasaidia kabisa viongozi hao endapo upinzani utachukua nchi

    Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wapinzani wakichukua nchi watatumia fimbo ile ile ambayo sisi CCM tumekuwa tukiitumia dhidi ya tusiowapenda, wakiwemo wa vyama vya upinzani. Na tusijidanganye kuwa CCM tutakaa madarakani milele. Dalili zilizopo zinaonyesha tutaondolewa madarakani muda si mrefu...
  6. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Zijue tabia 4 zinazopunguza kinga za mwili bila kujijua

    Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Mtu anapokuwa na kinga imara za mwili, huepuka kuugua mara kwa mara na kwa kifupi unaweza kusema kwamba kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kuumwa mara kwa mara ni dalili...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga

    Habarini wakuu Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama. Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye amewahi kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja tu , tena ndiye aliyemzalisha. Ushauri wenu wadau...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa kutisha, waliokaa Lockdown kwa mwezi mmoja au zaidi hatarini kufariki hata kwa bakteria na fangasi baada ya kutoka nje, kinga zashuka!

    Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19. Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika. Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, mwanasiasa anayepewa kinga na ya kutoshtakiwa na Katiba ya nchi yake anaweza kushtakiwa kwenye nchi nyingine akistaafu?

    Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani. Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano? Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tumeamua kufuata mfumo wa kinga ya jumuia (herd immunity) tufanye haya kupunguza maafa

    Utangulizi Ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona umevamia kila nchi duniani na kila nchi imeamua namna yake ya kupambana nao Kwa sasa kuna namna kuu mbili zilizoko duniani ni kupunguza maambukizi (flattening the curve) na Kinga ya pamoja au ya jamii (Herd immunity). Kila...
  11. Camilo_Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mgao wa vifaa vya kinga ya COVID 19 unafikirisha

    Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana. Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
  12. Sijijui

    JamiiForums Tanzania Kujifukiza ni kinga au ni tiba?

    Wanajamvi, ninafahamu humu jamvini Kuna magwiji wa kila idara from miti shamba hadi PhD za MD. Hivi kujifukiza ni kinga au ni tiba ya corona? Najua watanzania kutokana na umasikini wetu wa kipato na akili tunapenda sana mteremuko. Hapa Tanzania ni kawaida sana kumsikia abiria akimpigia kelele...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

    Wanabodi, Janga la Corona ni vita ambayo no one knows its dimensions, hivyo Watanzania hatuna budi kutumia kila silaha, kila mbinu, kila technics, hivyo, baada ya kuisikia ile hotuba ya jana kutokea Ukulu ya Chato, mimi kwa upande wangu naiunga mkono hotuba ile ya Ikulu ys Chato kwa asilimia...
  14. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

    DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday. "We've been chosen to conduct these tests,"...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Kwa nini cases za ugonjwa huu hazijaripotiwa Afrika? Je ni kweli miili ya Waafrika ina kinga dhidi ya kirusi hiki?

    Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika". Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za Afrika zmbazo hazikuwa na uwezo wa kutest coronavirus. Hadi wiki iliyopita ni maabara za nchi...
  17. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hatua mpya katika tiba kamili ya HIV wataalamu wagundua njia ya kuifanya kinga ya mwili kupigana na virusi vya UKIMWI

    Ever since antiretroviral treatments against HIV infection were introduced in 1996, scientists have eagerly been hunting for a cure for the disease. Although drugs can allow people who carry HIV to live normal, healthy lives, people who carry HIV have to take antiretroviral treatments for as...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mafua ya kawaida hayahitaji dawa, kinga ya mwili inatosha kupigana nayo

    Mafua yanasababishwa na simple virus, virus huyu ni simple kiasi cha kuweka kuuliwa na kinga ya mwili. Huambukiza kwa njia ya hewa, incubation period huchukua siku 3-7. Hushambulia epithelial tissue zenye kuta za mucus goblets. Mucus husaidia kuchuja hewa inayoingia mwilini, ni sehemu ya immune...
  19. Mlachake

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa pete kama kinga ama zindiko

    Kuna kipindi fulani nikiwa nasota Kijiweni na Masela niliuziwa pete yenye kidani chekundu. Kuna rafiki yangu aliona nimevaa ile pete alishtuka sana akanipa nadharia nyingi sana kuhusu hizi pete. Kiukweli baada ya kama miezi miwili baadae majanga yalianza kuniandama moja baada ya lingine...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Israel: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aomba kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili. Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi. Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
Back
Top Bottom