Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

Aliyekwambia VVU inaambukizwa nani?

Kama kusuguana ndo kupata HIV nahisi wanaume wote tungekuwa CTC muda huu kuchukua ARV.

HIV ni bizness kama ilivyo bizness nyingine.

Kikubwa acha dhambi ya uzinzi, oa ili utende haki mbele za Mungu.

Usiogope mateso ya mwili wakati unajua kabisa umemkosea Mungu.
 
pole mkuu najua starehe ya muda mfupi inakupa mawazo ya muda mrefu sasa.

Angalizo siku nyingine jaribu kufata maelekezo sahihi ya uvaaji kondomu kwenye box lake huwa hazipasuki zikivaliwa kwa usahihi
 
achene kabisa kumdanganya huyo dogo, dogo fuata ushauri na tiba ulizopewa na ma daktarin, humu utadanganganywa mwisho udondokee pua

Mkuu hata humu wapo wanauelewa mzuri na mambo haya.
Ndio unachosema jokes zipo kila mahali
 
Ni vizuri kutumia kitu ambacho una hakika nacho kuliko kufanya majaribio kwa hatari kama hiyo. Kama unazijua PEP ilibidi uende kituo kingine cha afya ili upate PEP na maisha yasonge.

Binafsi nimetumia PEP mara mbili, naziaminia. Mara ya kwanza nilipiga dry, mara ya pili nilijikata kwenye mlango wa daladala.
 
PrEP kwa kirefu ni Pre-exposure prophylaxis. Hii huduma ya dawa za kinga watu walio katika hatari ya kuambukizwa VVU (mwatu ambao kila siku kulingana na shughuli zao wanapata contact ya retroviral). Ambapo humeza dawa kila siku ili kuwalinda wasipate maambukizi. hizi dawa zinazotumika kama PrEP zina majina. Mfano wa dawa mojawapo ni truvada.

PEP (post-exposure prophylaxis)hii ni huduma ya kumkinga mtu ambaye amepata maambukizi ndani ya masaa 72. Hii hufanya kazi tu iwapo mhusika ameanza kumeza dawa ndani ya masaa 72 baada ya kuambukizwa VVU (kwa mfano baada ya kubakwa) na pia humezwa kwa siku 28 ili kuzuia VVU lakini haifanyi kazi kwa 100%. PeP inachukuliwa baada ya kufikiria umeambukizwa VVU. Dawa ninazotumika kwa sasa ndio hiyo TLD (Tenofovir, Lamivudine and Dolutegravir)
 
Ni vizuri kutumia kitu ambacho una hakika nacho kuliko kufanya majaribio kwa hatari kama hiyo. Kama unazijua PEP ilibidi uende kituo kingine cha afya ili upate PEP na maisha yasonge.

Binafsi nimetumia PEP mara mbili, naziaminia. Mara ya kwanza nilipiga dry, mara ya pili nilijikata kwenye mlango wa daladala.
Mkuu PEP sio jina la dawa, PEP ni kitendo cha wewe kuwa exposed kwenye risk then ukapewa dawa. Hizi dawa zina majina yake! Kwa sasa TLD ndio imekuwa ikifanya vizuri! Majuzi tu hapo TLE ndizo zilikuwa zikitumika. Play safe
 
Nilikuwa sijui mkuu, mara zote mbili nilizoenda hospitali nilikuwa nikizitaja PEP na walinielewa tu.
 
Aliyekwambia VVU inaambukizwa nani?

Kama kusuguana ndo kupata HIV nahisi wanaume wote tungekuwa CTC muda huu kuchukua ARV.

HIV ni bizness kama ilivyo bizness nyingine.

Kikubwa acha dhambi ya uzinzi, oa ili utende haki mbele za Mungu.

Usiogope mateso ya mwili wakati unajua kabisa umemkosea Mungu.
We jamaa unanipa matumaini ya kula papuchi kavu kavu eti!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom