Kinga ya kutoshitakiwa kwa viongozi wa mihimili nchini ni wizi na uhujumu uchumi

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa?

Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga.

Kama kodi nyingi zinatumika kulisha mahabusu na wafungwa wengi wasio na hatia lipo tatizo kubwa kama nchi kuanza kufundisha elimu ya mlipa kodi kwa wanafunzi wasio wazalishaji huku nguvu kazi tunawalisha kwa kodi za matumizi ya simu.

KINGA IONDOLEWE KWA VIONGOZI wawe wanashitakiwa kama RAIA wengine
 
Najiuliza sana hili swali;

Kama viongozi wa juu (Rais, Makamu Wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker Wa Bunge) wanajijua kwamba wao ni wasafi na wamejitoa kwaajili ya taifa letu, pamoja na kujitapa kwamba wao ni Watetezi Wa Wanyonge.

Sasa kipi hasa hasa kinachowafanya waogope kushtakiwa?
 
Back
Top Bottom