kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    Chupi za Cotton za Kike

    Nauza chupi za cotton kwa bei ya jumla mzgo umetoka China Location: dar es salaam Bei negotiable kutokana na idadi unazotka si chini ya pc 100 nauza 0753595520
  2. Mamujay

    Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  3. DR HAYA LAND

    Naweza msaidiaje huyu Mdogo wangu wa kike?

    Habari ya uzima, Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili. Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni...
  4. benzemah

    TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

    Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia JISOMEE HAPO...
  5. BARD AI

    Tyga amtaja Nicki Minaj kuwa Rapa Bora wa Kike wa Muda Wote!

    Siku chache baada ya kuwataja #LilWayne na #Eminem kuwa ndio 'Rappers' wakali wa muda wote (GOAT), Tyga ameamua kumpa Nicki Maua yake na kueleza kuwa hakuna Rapa mwingine wa kike anayemkaribia. #Tyga ambaye amewahi kuwa chini ya Label Young Money pamoja na Nicki, amesema rapa huyo anajua...
  6. warzone

    Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

    Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba...
  7. Mparee2

    Tulee watoto wa kike waukubali uwanawake

    Ukifuatilia huku mtaani kuna nguvu ya kutaka kuwalinganisha Watoto wa kike na wakiume kitu ambacho kimsingi sina tatizo nacho ila tatizo ni utekelezaji wake Namaanisha kuna gap kubwa tunaliacha kwa kukosa kulea Watoto wetu wa kike kujikubali na kujiamini kuwa wao ni Wanawake na kuwafunza...
  8. BigTall

    Genevieve Nnaji, Muigizaji wa kike anayelipwa zaidi Nchini Nigeria

    Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria. Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh...
  9. J

    Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  10. britanicca

    Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

    Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere, Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
  11. Kipenzi Changu

    Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

    Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti. Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting. Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
  12. Chizi Maarifa

    Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
  13. Pascal Mayalla

    Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  14. H

    Kuna Mwamba muda si mrefu anaingia choo cha kike

    Habari Wana Jf Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya...
  15. Hemedy Jr Junior

    Mtoto wa kiume kwasasa alindwe kama mtoto wa kike, maana hali sio hali

    Wazazi mmekuwa bize sana walahi, imani ya kwamba mnawatafutia watoto wenu ili wasije kuteseka mnakosea sana maana mwenye uwezo huo ni Mwenyenzi Mungu pekee. Mnapamnana na bado hali ni ile ile, tumezaliwa ili tusaidiane. Watoto wa kiume wamearibikiwa kwa sababu wazazi baadhi hawana hata hofu ya...
  16. J

    Nahitaji mchumba wa kike anayejiamini

    Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35. Nipo Dar, nimejiajiri. Kiongozi na mtawala. Cuddling expert. Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k. Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana. Furaha yangu...
  17. Aaliyyah

    Uendeshaji wa Biashara ya saluni ya kike ya kisasa

    Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie. Kwanza biashara hii ukitaka uiendshe kisasa lazima utoe hudumña 4 muhimu ambazo ni 1. Pedicure and manicure(kucha...
  18. Hemedy Jr Junior

    Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  19. music mimi

    Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  20. ndibuka

    Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
Back
Top Bottom