Nini kinasababisha wanawake wengi siku hizi hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Peace be to you all,

Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa.

Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume, sauti nazo zimekua ngi ngi nga nga ule unyororo wa sauti za kike kwisha.

Nini chanzo cha haya yote. Yani wanawake wanazidi kua kama wanaume hata kwa tabia, sasa hivi ni kawaida kukuta mwanamke anapeleka mtungi (anakunywa pombe kali) konyagi kavu kavu wakati wote ni mashahidi zamani walikua wanakunywa soda.

siku hizi hata ukimsimamisha mwanamke umtongoze anakukata jicho kavu kama fundi saa, ile kuona kaaibu kuchuma vijani mwanamke akitongozwa hakuna tena, kwanza hata kutongoza hakuna ni kumuita unaelewana location imeisha hiyo.

Hata woga hawana tena, unakuta mwanamke anaangalia movie ya mazombie katoa macho tena anachomekea "hilo likubwa lao silipendi, waliue tu" zamani wanawake walikua waoga.

Nini chanzo cha mabadiliko haya ?
 
Imekuwa shughuli pevu kupata mwanamke mwenye sura nzuri, umbo zuri na mwenye haiba ya kike siku hizi. Wengi ni polygon magumegume tu. Utakuja kijana handsome boyo kaoa mwanamke hana shepu ya kike sijui wanaishije ndani ya nyumba.

Unakuta mwanamke kakodoa macho bila haya anamtamzama mume wake kwa macho makavu yasiyo na huba, ukute mambo ni ya hovyo hata kwenye majamboz
 
Imekuwa shughuli pevu kupata mwanamke mwenye sura nzuri, umbo zuri na mwenye haiba ya kike siku hizi. Wengi ni polygon magumegume tu. Utakuja kijana handsome boyo kaoa mwanamke hana shepu ya kike sijui wanaishije ndani ya nyumba. Unakuta mwanamke kakodoa macho bila haya anamtamzama mume wake kwa macho makavu yasiyo na huba, ukute mambo ni ya hovyo hata kwenye majamboz
Kataa Ndoa" mmeshaanza gubu lenu
 
1. HAKI SAWA kisaikolojia.

2. Kufanya zaidi kazi za kiume.

3. Kutojisitiri kimavazi (vibukta, vipensi komando, suruali n.k ).

4. Mchanganyiko wa Marafiki tomboys.

5. Feminism elements

6. Malezi ya kisasa.

7. Utandawazi kwa kuiga iga hata visivyofaa kimaadili kwa Ke

8. Tamthilia za kipumbavu zinazopotosha haiba ya Ke.

9. Vyakula vya kisasa ( kijinga ) vinavyosababisha homone imbalance kwa jinsi Ke kuchochewa sana homoni za kiume miilini badala ya homone za kike eg ndevu.

10. Uzazi wa mpango husababisha women shapeless bodies kwa maumbo no. 9 eg vitambi.

11....Downloading.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
1. HAKI SAWA kisaikolojia.

2. Kufanya zaidi kazi za kiume.

3. Kutojisitiri kimavazi (vibukta, vipensi komando, suruali n.k ).

4. Mchanganyiko wa Marafiki tomboys.

5. Feminism elements

6. Malezi ya kisasa.

7. Utandawazi kwa kuiga iga hata visivyofaa kimaadili kwa Ke

8. Tamthilia za kipumbavu zinazopotosha haiba ya Ke.

9. Vyakula vya kisasa ( kijinga ) vinavyosababisha homone imbalance kwa jinsi Ke kuchochewa sana homoni za kiume miilini badala ya homone za kike.

10. Uzazi wa mpango husababisha women shapeless bodies kwa maumbo no. 9 eg vitambi.

11....Downloading.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kbsa mkuu
 
1. Vitambi hata kama hawajazaa .
2. vigimbi kama wacheza mpira
3. Kutembea haraha haraka kama wanawahi fumanizi.
4. Kupenda kuwa mbele mbele katika uongozi.
5. Makomwe marefu kwa kuweka pesa mbele.
6. Uchafu ,mtu mweusi bado anapaka lipstick nyekundu unaweza kusema alama ya "battery low"
 
1. HAKI SAWA kisaikolojia.

2. Kufanya zaidi kazi za kiume.

3. Kutojisitiri kimavazi (vibukta, vipensi komando, suruali n.k ).

4. Mchanganyiko wa Marafiki tomboys.

5. Feminism elements

6. Malezi ya kisasa.

7. Utandawazi kwa kuiga iga hata visivyofaa kimaadili kwa Ke

8. Tamthilia za kipumbavu zinazopotosha haiba ya Ke.

9. Vyakula vya kisasa ( kijinga ) vinavyosababisha homone imbalance kwa jinsi Ke kuchochewa sana homoni za kiume miilini badala ya homone za kike.

10. Uzazi wa mpango husababisha women shapeless bodies kwa maumbo no. 9 eg vitambi.

11....Downloading.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We nae sijui unajikutaga nani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
1.Vitambi hata kama hawajazaa .
2.vigimbi kama wacheza mpira
3.Kutembea haraha haraka kama wanawahi fumanizi.
4.Kupenda kuwa mbele mbele katika uongozi.
5.Makomwe marefu kwa kuweka pesa mbele.
6.Uchafu ,mtu mweusi bado anapaka lipstick nyekundu unaweza kusema alama ya "battery low"
mbona unanisema mkuu nimekukosea nini

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom