kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

    Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 . Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  4. Ester505

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

    Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya ndege, maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
  5. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

    Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu. Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini. Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi...
  7. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

    Tafadhali zingatia: Maokoto Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za) Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka Ukali wa ubaguzi Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.) Hali ya hewa nk. Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa? Kwa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  9. G

    JamiiForums Tanzania KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  10. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania "Aliou Sawadogo" kijana wa Burkina Faso aliyeitungua "Drone" ya Ufaransa kwa manati

    Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani. Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha. Akavuta pumzi na kuzishusha...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana Mpananaji Mpira na Mapenzi visikupotezee Mda wako

    Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako.... Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kikristo anatakiwa kukaa kwao hadi atakapooa hata kama ni miaka 50. Umasikini wa wazazi ndio unapelekea watu wakimbie kutafuta maisha

    Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga. Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake. Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
  14. JGimbuya

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa salon Dar, Tegeta

    Naitaji kijana wa Salon ya kiume, ipo Tegeta Azania. Kwa mazungumzo zaidi nicheki kwa namba 0768370986.
  15. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  16. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  18. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
Back
Top Bottom