kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kijana acha kujaza ndeluche tu kichwani, jifunze mambo yatakayokusaidia.

    Hakuna wakati mzuri wa kujifunza na kujua mengi ya maana kama wakati huu tunapoishi. Mambo mengi yapo vidoleni mwetu una Google tu unayapata. Lakini la kushangaza vijana wengi wanazidi kuwa wajinga na mandeluche. Kuna vijana wanaonekana wajanja mdomoni lakini ukiwauliza Dodoma ipo Zanzibar ama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

    It is very painful ===== Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyangoto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi usiku akirejea nyumbani. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya...
  4. comte

    JamiiForums Tanzania Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  6. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

    1. Namba ya NIDA. 2. Leseni ya udereva. 3. TIN number. 4. Bank Account. 5. Passport. 6. Computer skill ( hata kidogo) 7. Mengine ni mengineyo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kijana yeyote aliye nyuma ya CCM, ni mwizi na mpenda rushwa kama walivyo wakubwa wao!

    Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo! Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii! Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi? Kijana wa ccm...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Tonny Kurwa Zuchu [18] Mkazi wa Misungwi Mwanza amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume cha maumbile. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 91/2023 imetolewa Aprili 19, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya mbele ya...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kijana afariki dunia mgodini Mara

    MARA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Masasa Tungulilo, amefariki dunia kwa kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mgodi mdogo wa dhahabu wa Nyarufu uliopo Halmashauri ya Musoma mkoani Mara wakati akijaribu kuingia katika mduara huo. Mashuhuda wa tukio hilo ambao ni wachimbaji wadogo katika...
  12. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

    Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kijana hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi usije kuwa tegemezi kwa wanao uzeeni

    Huwa nasema na leo narudia kusema tena "Kwa sisi ambao leo hii ni vijana tuna watoto ama tunatarajia kuwa na watoto, hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi, kwa faida yako na wanao, usijenge fikra za kuja kuwa tegemezi kwa watoto wako hapo baadaye, watoto wako waje wakununulie new Van...
  16. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

    Wana jamvi habari za usiku huu, Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa. Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Yanga SC, pale Kenya (Gor Mahia) kuna kijana mdogo tu wa miaka 21 anaitwa Benson Omala

    Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!! Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kijana anayedaiwa kuvamia Kanisa la RC Geita aburuzwa kortini

    Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali. Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake. Nakupa saa 72

    Kwa leo sitaandika mengi. Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu. Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
Back
Top Bottom