kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Tonny Kurwa Zuchu [18] Mkazi wa Misungwi Mwanza amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume cha maumbile. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 91/2023 imetolewa Aprili 19, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya mbele ya...
  2. Melki Wamatukio

    Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  3. B

    Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  4. B

    Kijana afariki dunia mgodini Mara

    MARA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Masasa Tungulilo, amefariki dunia kwa kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mgodi mdogo wa dhahabu wa Nyarufu uliopo Halmashauri ya Musoma mkoani Mara wakati akijaribu kuingia katika mduara huo. Mashuhuda wa tukio hilo ambao ni wachimbaji wadogo katika...
  5. Gotze Giyani

    Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  6. FRANCIS DA DON

    Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

    Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza
  7. Mohammed wa 5

    Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  8. TheForgotten Genious

    Kijana hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi usije kuwa tegemezi kwa wanao uzeeni

    Huwa nasema na leo narudia kusema tena "Kwa sisi ambao leo hii ni vijana tuna watoto ama tunatarajia kuwa na watoto, hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi, kwa faida yako na wanao, usijenge fikra za kuja kuwa tegemezi kwa watoto wako hapo baadaye, watoto wako waje wakununulie new Van...
  9. Richard mtao

    Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

    Wana jamvi habari za usiku huu, Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa. Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
  10. Tate Mkuu

    Yanga SC, pale Kenya (Gor Mahia) kuna kijana mdogo tu wa miaka 21 anaitwa Benson Omala

    Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!! Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  12. BARD AI

    Kijana anayedaiwa kuvamia Kanisa la RC Geita aburuzwa kortini

    Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali. Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
  13. N

    Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake. Nakupa saa 72

    Kwa leo sitaandika mengi. Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu. Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
  14. H

    Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano) Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
  15. Analogia Malenga

    Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

    Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
  16. F

    Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  17. Wrevta

    Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

    Heri ya siku njema ya leo. Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea kutimizia 25 hivi karibuni. Ninasoma chuo kikuu mwaka wa nne(wa mwisho). Nimewaona wengi ambao wangeweza kunishauri vitu vya msingi vya kuwa navyo umri huu kabla muda haujaniacha, ila kwa heshima ya madini yatokayo JF nimeamua kuja...
  18. B

    Dodoma: Mavunde afanikisha huduma ya Bure ya wenye matatizo ya macho. Kijana aliyeacha masomo kwa tatizo la kutoona apona, aahidi kumsomesha

    MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
  19. Uchira 1

    Oa au olewa na kijana wa hovyo uje kupotosha

    Habari JF member, Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo. Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuanzisha mada mbalimbazi za kuhamasishana au kupinga kuoa, hizi mada ukizisoma kwa undani unabaini...
  20. A

    Profile la kijana mkataa ndoa

    1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under. 2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially. 3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL. 4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships...
Back
Top Bottom