Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,139
Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi.

Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali.

INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda kwake kumuongezea bili ya gunia la unga na maharage, hii si sawa.

KUMUONGEZEA KAZI HOUSE GIRL - Kuna ndugu hawaoni tatizo kumpa house girl nguo za kufua , vyombo vya kuosha, kumtuma tuma, n.k. huu ni mzigo kwa house girl.

WATOTO KUJIBANA KWAJILI YAKO - Kiuchumi mtu alishatenga vyumba viwili kila mtoto awe na chake, dstv ya sebleni watoto waangalie katuni zao bila kubugudhiwa, n.k. uwepo wako huvuruga mipanggo hii
 
Chief kuna kufulia hta gheto la elfu kumi linakushinda kulipia omba sana isikutokee
 
Huyu hayajawah kumkuta mie huwa mtu akikwama simsemi maisha yana mambo mengi sana...
Ni kweli chief

Hta hivyo vibarua anavyosema vipo vingi kuna kipindi inafikia kuvipata inakuwa ngumu

Halafu suala sio kulipia gheto tu! Vipi kuhusu chakula, mavazi maji vyote ivi vinahitaji pesa
 
Back
Top Bottom