Kijana wa Sabasaba Mkoani Lindi ajikata sehemu zake za Siri

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
220
495
1688797467094.jpg

Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo

Taarifa inasema kijana asubuhi ya Tarehe 07 Julai aliwasili ofisini kwake na kutoa taarifa kuwa hayupo vizuri kiafya.

Baada ya kurudi nyumbani alikimbia ghafla kutoka chumbani kwake akiwa mtupu huku damu nyingi zikimtoka katika eneo la uume wake na mbio hizo alizielekeza moja kwa moja katika eneo la bahari ambapo inadaiwa raia wema walimkuta akiwa anajiosha kidonda chake kwa maji ya bahari kwa dhumuni la kukata damu.

Chanzo: EastAfricaTV

Pia soma: Kijana aliyejikata uume hataweza tena kujamiiana
 
#HABARI Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo

Taarifa inasema kijana asubuhi ya Tarehe 07 Julai aliwasili ofisini kwake na kutoa taarifa kuwa hayupo vizuri kiafya.

Baada ya kurudi nyumbani alikimbia ghafla kutoka chumbani kwake akiwa mtupu huku damu nyingi zikimtoka katika eneo la uume wake na mbio hizo alizielekeza moja kwa moja katika eneo la bahari ambapo inadaiwa raia wema walimkuta akiwa anajiosha kidonda chake kwa maji ya bahari kwa dhumuni la kukata damu. #EastAfricaTV

1688797687178.png
 
Hahaaa, ukiamua moto ni moto tuu, sasa ukate bamia uogope ute?
 
Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo

Taarifa inasema kijana asubuhi ya Tarehe 07 Julai aliwasili ofisini kwake na kutoa taarifa kuwa hayupo vizuri kiafya.

Baada ya kurudi nyumbani alikimbia ghafla kutoka chumbani kwake akiwa mtupu huku damu nyingi zikimtoka katika eneo la uume wake na mbio hizo alizielekeza moja kwa moja katika eneo la bahari ambapo inadaiwa raia wema walimkuta akiwa anajiosha kidonda chake kwa maji ya bahari kwa dhumuni la kukata damu.

Sources :EastAfricaTV
Yupo timamu kichwani???
Amejikata au amekatwa??
 
Back
Top Bottom