kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Waafrica wakiwa wanaongea kiingereza huonekana kama watu fulani dumb hivi

    Cheki waafrica wote. Wasouth, wakenya, wabongo, wazambia, wanigeria nk. Wakiwa wanaongea kiingereza wanaonekana kama watu wenye uelewa wa chini sana na slow learners. Cheki clips za bunge la South Africa, hadi maspika wanaonekana kama watu fulani wazito sana akilini, maskini wa misamiati nk...
  2. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Athari za Kutohimiza Kiingereza

    Madhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU. Adhari zake ni pamoja na zifuatazo: 1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafundisha Kiingereza (kuongea na kuandika)

    Ikiwa una uhitaji wa kujifunza kiingereza kwaajili ya matumizi yako ya kila siku na katika masomo suluhisho hili apa. Utajua Vocabulary (msamiati), grammar na utafanya mazoezi na mwalimu mahiri kabisa. Zaidi, tuwasiliane kwa 0752 802 513 (normal) 0689 158 842 (WhatsApp &normal) "The...
  4. ngotho

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kiingereza katika kuficha siri

    Wakuu habarini za saa hizy?? Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu. Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wamebobea kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Wabara mhh!!!

    Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana. Sasa nije kwenye mada yangu. Sisi Wazanzibari tupo vizuri sana tena sana katika lugha zetu mbili...
  6. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kutumia kiingereza kuonesha msisitizo?

    Habari za wakati huu, Nimekuwa nikisoma nyuzi mbali mbali humu Jamii Forums na nimefurahishwa nazo. Ila sifurahishwi na hii tabia ya mtu kupachika mstari wa kiingereza eti ndo kuonesha Msisitizo wa Mawazo yake. Kwa mfano, utakuta mtu anaongelea kuhusu kutokuwepo kwa Mungu, anaadika hivi...
  7. hiram

    JamiiForums Tanzania kiingereza hiki cha mtangazaji Kotinyo

    Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
  8. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya maneno O-rejeshi na aina za kauli mbalimbali katika lugha ya kiingereza

    Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama ataka-ye- kuja Ana-cho-pata Wali-o-fika Zili-zo-mo Swali, Je? O-rejeshi katika lugha ya kiingereza...
  9. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Habari za muda huu wa wanaJF! Kama yalivyo maelezo hapo juu. Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:- Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho. Natanguliza...
  10. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kuna app ambayo naweza kuweka makala ya Kiingereza initafsirie?

    Habari wakuu kwema? Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app #yesbishoohaswaaaa
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

    Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO. Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM. Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tusikifumbie Macho Kiingereza kana kwamba huo ndiyo uzalendo

    UTANGULIZI Pamekuwa na mijadala na minong’ono mingi juu ya kuporomoka kwa uelewa wa lugha ya kiingereza. Tafiti mbalimbali zimefanywa na watu pamoja na taasisi mbalimbali zikionyesha kushuka kwa umahiri wa kuzaungumzwa kwa lugha ya kiingereza. Na sababu kubwa kabisa ambayo imekuwa ikitajwa ni...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mawasiliano: Marufuku kusainisha wananchi mikataba ya lugha za kigeni

    MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa makampuni ya simu nchini kuwasainisha wananchi mikataba au makubaliano yeyote ya kutumia ardhi ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu lugha ya kiingereza. JE, HUO UPOTOSHAJI UPOJE? Hapa nchini...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
  16. Tango73

    JamiiForums Tanzania Rudisheni lugha ya Kiingereza shuleni kama lugha ya kufundishia

    limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunateseka kwa kuendelea kutumia Kiingereza kama lugha ya kujifunzia?

    Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma riwaya ya kiingereza kuliko ya kiswahili. Riwaya ya kiswahili unayoweza kusoma kwa siku mbili, ikiwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na kiingereza cha kuvunjika vunjika

    Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  20. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje matusi ya Kiingereza yanaruka hewani kwenye redio bila kuchujwa?

    Hapa nasikiliza kituo kimoja chenye makazi yake huko kanda ya ziwa, wanapiga nyimbo za mabeberu; maneno kama b**ch, N**ger, f**k, motherf**ker yanakwenda on air bila kuwa censored. Na hii si mara ya kwanza kusikia, kuna siku pia nilisikia nikadhani labda walijisahau. Hivi mswahili akiweka neno...
Back
Top Bottom