Kuna app ambayo naweza kuweka makala ya Kiingereza initafsirie?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,687
22,162
Habari wakuu kwema?

Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app

#yesbishoohaswaaaa
 
Ingia kwenye browser yako,andika Google translator kisha itakuletea space kwa ajili ya ku paste hiyo story yako then kwenye space ya chini utachagua lugha ambayo unataka hiyo story yako iwe translated
Sema huwaga na kiswahili cha kiduwanzi kama cha wakenya yaani nlijarbu ikaniletea lugha ngum
 
Tumia Google translator.
NB: Baada ya kutafsiri inapaswa uhariri kwa kubadili Kiswahili maana sijui walichukua Kiswahili cha wakenya.
 
google translate. Ila ina kiswahili kibovu balaa
Ni wakenya ndio walibeba hiyo tenda kutafsiri wakavuta pesa ndefu kweli wakajaza kiswahili kibovu

Watanzania uvivu wa kusaka kazi za online unatuponza kukosa fursa kama hiyo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom