kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  2. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Vipaumbele vya habari katika Magazeti ya Kiingereza na Kiswahili

    Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane inbox kama unahitaji 'huduma hii' kwa bei nafuu

    Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
  4. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Wasalaam wakuu Hivi ni kwanini watoto wetu wasifundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery? Huu mfumo wa kuwafundisha kwa kiswahili mpaka la saba halafu waanze tena kufundishwa kwa kiingereza kuanzia form one ni mgumu mno Mtoto akifundishwa kwa kiingereza tokea nursery school...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajaoa na kwa bahati wanajua kusoma kiingereza waraka wenu huu

    Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife. You will never finish making money or achieving your plans. You might still not succeed at your target year. So start your life early...
  6. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza

    Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza? Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Mstaafu Kikwete akiongea Kiingereza hatetemeki?

    Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa. Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho...
  8. Ambokile Amanzi

    JamiiForums Tanzania Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

    Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho. Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya. Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia. Wengi wa wananchi wetu nina uhakika...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

    Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. "Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia amejipambanua kimataifa kwa kuipa lugha ya Kiingereza umuhimu wake

    Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu. Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

    Hey peeps, let’s have some little fun....shall we? Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787]. Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka. Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

    Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake. Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Kiingereza kitakuwa na kazi gani?

    Naona tayari michakato ya sheria iko jikoni mahakama kuanza kutumia Kiswahili mwanzo mwisho tofauti na sasa ambapo dokomenti zote huwa za kiingereza sasa baada ya sheria hii hakimu au mwanasheria yeyote itamlazimu atumie lugha ya kiswahili ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa upande...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    “Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo...
  17. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Kiingereza ni lugha Universal

    Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  19. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliwaambieni siyo kila mmoja anasujudia Kiingereza kama ninyi. Oneni EU wanachofanya baada ya BrExit

    Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani. Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

    Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya...
Back
Top Bottom