Waafrica wakiwa wanaongea kiingereza huonekana kama watu fulani dumb hivi

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Cheki waafrica wote. Wasouth, wakenya, wabongo, wazambia, wanigeria nk. Wakiwa wanaongea kiingereza wanaonekana kama watu wenye uelewa wa chini sana na slow learners.

Cheki clips za bunge la South Africa, hadi maspika wanaonekana kama watu fulani wazito sana akilini, maskini wa misamiati nk. Hii lugha ya mkoloni imetushika pabaya sana.
 
Nchi nyingi za ukanda wa Africa kiingereza chao uathiriwa na lugha mama zao , angalia kiingereza cha mnigeria ,mwafrika kusin ,Kenya hasa ukanda wa bara, kwa upande wa pwani ya Kenya wanaongea vyema sana, Tanzania kiingereza utamkwa kwa lafudhi ya kiswahili, Africa kusin lafudhi ya kizulu na Nigeria nao na lafudhi zao ,
Ila ukipata ukanda ambao aujaathiriwa na haya wallah utapenda kiingereza chao ,
Mtizamo wang

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Lafudhi yao siyo shida ila ni jinsi walivyo slow. Hata misamiati, unaona kabisa kuwa huyu mtu ni masikini wa msamiati. Muone sasa anavyoongea lugha mama, anaonyesha kabisa ni mtu sharp. Msikilize Buhari akiongea. Kama mtu dumb.
 
Cheki waafrica wote. Wasouth, wakenya, wabongo, wazambia, wanigeria nk. Wakiwa wanaongea kiingereza wanaonekana kama watu wenye uelewa wa chini sana na slow learners. Cheki clips za bunge la South Africa, hadi maspika wanaonekana kama watu fulani wazito sana akilini, maskini wa misamiati nk. Hii lugha ya mkoloni imetushika pabaya sana.
Wazungu, Hilo jina lilitokea wapi? Kwanini kila lao tinaliona Bora? Tutarajie katuni ya Superman shoga
 
Nchi nyingi za ukanda wa Africa kiingereza chao uathiriwa na lugha mama zao , angalia kiingereza cha mnigeria ,mwafrika kusin ,Kenya hasa ukanda wa bara, kwa upande wa pwani ya Kenya wanaongea vyema sana, Tanzania kiingereza utamkwa kwa lafudhi ya kiswahili, Africa kusin lafudhi ya kizulu na Nigeria nao na lafudhi zao ,
Ila ukipata ukanda ambao aujaathiriwa na haya wallah utapenda kiingereza chao ,
Mtizamo wang

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni lafudhi, watu ni wavivu wa kujifunza matamshi kwa ufasaha, pamoja na grammar.
Kitu kizuri katika kujifunza ni kupolish elimu yako iwe elimu haswa. Kabla ya kujiona educated ni vizuri kutafuta intelligence.
Kwa mfano msanii kama Nasty C, yeye ni m South lakini ana matamshi mazuri na anaalikwa mpaka radio stations kubwa za America na anafreestyle na watu wanafurahia kiingereza chake kilivyo fasaha kuanzia matamshi mpaka vocabulary.
 
Katika safari ya kujifunza usije ukaamini umekielewa kitu completely, unaweza ukaja kugundua ulivyojifunza ulikuwa unakosea tangu mwanzo. Cha msingi ni kutoridhika na ulipofikia.
 
Vilevile wa Africa tuna negativity sana, hatuna upendo wa dhati wa kujifunza kiingereza. Yaani hatuna passion nacho kabisa. Pia tumeshachukulia kiingereza ni kigumu.
 
Lafudhi yao siyo shida ila ni jinsi walivyo slow. Hata misamiati, unaona kabisa kuwa huyu mtu ni masikini wa msamiati. Muone sasa anavyoongea lugha mama, anaonyesha kabisa ni mtu sharp. Msikilize Buhari akiongea. Kama mtu dumb.
Ushawai kutana na waingereza wa kaskazin mwa London au Southampton!? Wanavyoongea ! Je ushakutana na warusi au waarab wakiwa wanaongea kiingereza!?
Kuwa na misamiati mingi pia uchangia na unao ongea nao ,

Back
Top Bottom