Umuhimu wa kiingereza katika kuficha siri

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
142
110
Wakuu habarini za saa hizy??

Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu.

Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi aliyenipa namba yake tuliyekutana naye katika mazingira tatanishi๐Ÿ˜‚.. kwenye phone book nilisevu jina lake (daladala).

Mpenzi wangu akaniuliza, huyo ni nani anakupigia simu usiku huu??
Sikumjibu, nilikata ile simu nikamwambia huyu ni mwalimu wangu wa chuoni.. akasema mmmmmmm... Sawa tu.

Baada ya dakika kumi, akapiga tena simu, mpenzi wangu akachukua ile simu, kuangalia anakuta jina limeseviwa DALADALA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Alipokea ile simu na kuweka loud speaker na kukaa kimyaa.. yule daladala naye akakaa kimya.

Nilinyakua ile simu mkononi mwake na kuongea kingereza kisichoeleweka kwake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ (am sory fro the inconvinience madam, by now i am in the discussions with my fellow student for tommorow's presentation, excuse me pleasea, i will enthusiastically inform you to call me when i will be free from this task) dala dala akajib (OK goodnite my student) goodnite too madam.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baada ya kuongea na dala dala, nikamkumbatia mpenzi wangu na kusogeza midomo yetu next to each other huku nikimwambia kwa sauti ya chini (hawa walimu wa chuo nao wamatusumbua na assignments za kila mara)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ. Akaniambia , (una bahati, msingeogea kiingereza, haki ya Mungu! yangu na yako ingeisha leo, kumbe hao waalimu wenu wanatumia lugha nzuri ya heshima inayoonesha kweli ni waalimu kamili. Kumbe hauni-chiti mpenzi wangu nakupenda) alisema mpenzi wangy huku akiweka mkono wake wa kushoto kifuani kwangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.

Ndug wa JF, ningeachika haki ya nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Kiingereza kimenisaidia kiac hicho.. mpaka leo hajaniuliza kuhusu daladala huyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Analyse the source of conflicts in the following books:
1. Mabala The Farmer
2. Hawa The Bus Driver
Give four points from each reading.
(20 Marks)
images (2) (31).jpeg
images (3) (3).jpeg
 
Kidato cha nne kwani washaingia mtaani?
Bado mkuu ndiyo wanajiandaa nafikiri.. Baadhi yao niliona jana wanalalamika fb, insta na whatsapp hazipatikani nafikiri walikosa mahala pa kudownload notes pia!
 
Back
Top Bottom