Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?

Kwani anaoongea nao ni waingereza?

Na kuongea kiswahili kunaweza kumkoseha mtu kwenye utekelezaji wa majukumu au ni utumwa wa fikra tuu unatutesa?
 
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Paul Makonda, akiandika tu kwa Kiswahili anafanya makosa mengi ya kisarufi, Sasa hicho ki malkia atakiweza?
 
Rais Samia lazima aoneshe seriousness kwa kumuondoa huyu Naibu waziri; hiyo wizara aliyopo ni nyeti sana inahitaji mtu serious!
 
Unachanganya mada sasa sema mi nshakuelewa unamlenga Nani
 
Mlimwandama sana yule jamaa hadi akajiondokea kwa maneno.
Na huyu tena mmeanza!
Amini usiamini maneno ya watu sumu
 
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?

Kuandika...!!? Hivi ulishawahi kuona mwandiko wake aliotumia kalamu na mkono wake...!? Ukitaka kujua kama anajua kuandika na mwandiko wake upo vipi, basi kama unatumia mkono wa kulia kuandika, basi funga macho halafu utumie mkono wa kushoto uandike "Nawasilimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" kisha fumbua macho, utakachokiona ndio mwandiko wake!
 
Back
Top Bottom