Tuliwaambieni siyo kila mmoja anasujudia Kiingereza kama ninyi. Oneni EU wanachofanya baada ya BrExit

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
11,797
2,000
Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani.

Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa wameamua kurejea kwenye lugha zao za asili.

komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
18,008

Kingereza sio lugha ya wazungu
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,099

Nilidhani ndio wametoa kabisa kiingereza kumbe bado wanajadili kama waendelee kuongea broken english au waanze kuongea lugha yao ya mama. Hata hao beberu wameathiriwa na kizungu kiasi cha kwamba wote wanakizungumza hata kama ni broken. Kiingereza ni international na hata wapende wasipende itabidi wakizungumze tu. Halafu Europeans wengi wanakiongea kizungu japo broken. I am speaking from experience. Wenyewe kwa wenyewe wanatumia broken english kuongeleshana. Sasa unategemea vipi waache kuitumia international lingua franca?
 
Kwa akili yako wewe unafikiri wakijadili watasema kiingereza kiendelee kama kilugha cha EU?
Nimewahi sema hapa mara nyingi ya kuwa ukiwa ulaya, kiingereza ni kwa ajili ya waingereza tu. wengine wanaenzi lugha zao kama sisi tunavyoenzi lugha ya kiswahili.
Nyie endeleeni kukiabudu kilugha cha malkia mkongwe.
 
Ukienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
43,873

Huu ndio ukweli.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
11,797
2,000
Umekasirika
Mnataja taja wazungu kwn uliambiwa kingereza ni cha wazungu..
We boya nn, eti mbona kuna wazungu hawakiongei!!kwn uliambiwa kingereza ni cha wazungu

Huna la kuniambia wewe mbunghua. Nyie mko obsessed na kiingereza in such a way you relate it with intelligence. Anybody who is not speaking English is relatively less intelligent than the one who do.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
11,797
2,000
Ukienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.

Hizo story kawape kibera boys wenzako. Ulienda Ujerumani ipi ikawakuta wanaongea kiingereza?
 
ighaghe

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,210
2,000
Kama unataka kuwa mtu wa kimataifa kiingereza kitakuhusu sana ila kama unakifahamu kimakonde basi ukaishi kwa wamakonde tu ili kiingereza kiwe hakina umuhimu kwako.

Kutokujua kiingereza hakutabadili uhalisia kuwa ni lugha ya kimataifa. Kutokujua kiingereza haina maana nyingine tofauti na kwamba utapata tabu sana kuwasiliana na watu wa mataifa mengine.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,099
2,000
Hizo story kawape kibera boys wenzako. Ulienda Ujerumani ipi ikawakuta wanaongea kiingereza?
Nionyeshe ni wapi nimesema nilienda Ujerumani. Nimesema nilienda Europe. Nilienda kwa nchi ambayo ni jirani ya Ujerumani. Na sio lazima uniamini. Maana huko kwenu hamutembei nje ya nchi. Zaidi ya kuzunguka ndani ya nchi yenu. Halafu Europeans wengi wanakifahamu kiingereza hata kama ni kidogo tu. Hio ndio fact na haitobadilika.
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
18,008
2,000
Huna la kuniambia wewe mbunghua. Nyie mko obsessed na kiingereza in such a way you relate it with intelligence. Anybody who is not speaking English is relatively less intelligent than the one who do.
Hayo unayasema wewe, yani usomee ujerumani mtaala mzima alafu umerudi kwenu buza hata ripoti hujui kuandika kw kijerumani..

Watu watakuonaje km wewe sio mburula, yani hapo hamna kitu ulichoelewa hko shule..
Ni sawa na nyie hko bongo part 2 ya elimu yenu ni kingereza lkn hata barua mtu hajui kuandika kisha mtu anasingizia eti lugha ya mabeberu wakati yeye ndio kilaza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom