kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua goli la Kitimoto Ujiji Kigoma

    Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi. Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo. Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako...
  3. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Leo nimekuletea historia ya 'AIFOLA' kutokea hapa mkoani Kigoma

    Katika picha hii utapaona 'Aifola Beach' ambayo ipo hapa mkoani Kigoma. Kwa muonekano utaona kwenye ufukwe wa ziwa kuna miti mirefu imejirundika karibu na ziwa Tanganyik maeneo ya Burega. Burega, muonekano wa mbali Miti hiyo imepandwa miaka mingi sana na imepandwa kwa mstari ulionyooka japo...
  4. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tajirika na sabuni za Kigoma

    Caustic Soda kilo 3, Mafuta ya mawese lita 20, Sodium Silket, Maji lita 10, Rangi ya bluu 100gram. Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)-Chukuwa caustic soda changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizuri baada ya hapo iache kwa...
  5. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwasasa itakugharimu TZS 27,600 tu kama nauli ya kufika hapa mkoani kwetu Kigoma

    Kusafiri na reli ni zaidi ya safari, maana utapata fursa ya kuona mandhari nzuri ya nchi ya Tanzania, uoto wa asili, mbuga za wanyama, huduma bora za chakula katika mgahawa ndani ya treni pamoja na huduma za afya. Usafiri umepangiliwa kwa kuzingatia ratiba zilizowekwa kwa mpangilio...
  6. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Chuo cha TIA Mkoa wa Kigoma

    MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usanifu wa Kituo cha huduma za pamoja mipakani Manyovu Kigoma wakamilika

    Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani Kigoma na ujenzi upo kwenye taratibu za awali za kumpata mkandarasi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad...
  10. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mashujaa FC wa Kigoma ni wachawi?

    Kwa Ujumla jibu ni HAPANA. Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa Mashabiki wa timu nyingine. Tuanzie kwenye logo ya Mashujaa FC ukiiangalia ni logo inayotambulisha...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Kigoma: Kigoma siyo kama ya zamani kwa sasa hakuna vumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu ambao wanatajwa kuwa ni Wafanyakazi wa ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka baada ya kuwasili Mkoani humo kuanza kazi katika vituo walivyopangiwa. Andengenye amesema “Najua...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yawezesha uanzishwaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu Kigoma RRH

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha Dkt. Jesca ambaye...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika akutana na viongozi wa dini zote Jimbo la Kigoma Kaskazini

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika mnamo tarehe 10 Juni, 2023 alikutana na viongozi wa dini zote wa Jimbo la kigoma kaskazini ikiwa ni utaratibu wake kukutana na taasisi mbalimbali jimboni. Lengo la kikao hicho ni Muendelezo wa kushukuru, kupokea ushauri na maoni kutoka kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, yupo Kigoma

    Hello, Kuna mdogo wangu wa kiume yupo Kigoma anatafuta kazi yoyote iwe ya kuuza duka, kusimamia lodge au bar, kusimamia mashamba ama miradi, stationary n.k Ana elimu ya kidato cha 4 ila pia amesomea masuala ya marketing level ya cheti, ni mpambanaji sana. Ana uzoefu wa kutumia computer na...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mchakato wa kuifanya Kigoma kuwa jiji umefikia pazuri

    Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani. Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu. Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  17. Djob Nkondo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tamaa zilivyouponza mwili nikiwa Kigoma

    Kwa majina naitwa dasp. Nimezaliwa na kukulia mwanza na baadae kuelekea sehemu mbalimbali niki jitafutia elimu baadae ajira. Kabla na baada ya kuhitimu nilikuw nikijishughulisha na shughuli mbalimbali za kijasilia mali na Ajira za mikataba. nilibahatika kufanya kazi katika taasisi binafsi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

    Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha. Baadhi...
  19. msovero

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Freeman Mbowe atikisa Kasulu Vijijini, elimu ya Katiba Mpya yaendelea kutolewa

    Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea. Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
Back
Top Bottom