kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

    Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini. Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
  2. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

    Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi. Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama ya Wilaya Kigoma Mkoa wa Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venas Edward (48), mkazi wa Ujiji Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za Mwalimu Nyerere mbunge wa Kigoma Mjini Zitto angewekwa kizuizini kwa matamshi yake

    Ananieleza Mzee Mgaya kwamba Rais Magufuli ni mkali lakini ni muungwana na mvumilivu sana. Enzi za Mwalimu Nyerere huyu Kabwe angekuwa kizuizini muda huu akichunguzwa juu ya kauli zake za mara kwa mara zilizojaa uchochezi, anaeleza MzeeMgaya. Waziri katumbuliwa na kosa lake limeelezwa wazi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Tutalirejesha jimbo la Kigoma Mjini mikononi mwa CCM kwa gharama zozote

    Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe ====== Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini linaloongozwa na Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo). Mwaka 2010 hadi 2015 mbunge wa Kigoma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa Kigoma Mjini 2020

    Tumeingia Ule mwaka wa kuamua hatma ya Kata, jimbo na nchi yetu. Sisi Wana Kigoma mjini tumeamua kuachana na mazoea na siasa zetu za kuoneana huruma. Kwakuzingatia matakwa ya kikatiba na kanuni zake... Hivyo basi huyu ni aina ya mbunge tunaemtaka; 1. Asiwe muongeaji sana bali mtendaji...
  7. shadow recruit

    JamiiForums Tanzania Kicks and blows as CCM marks 36th year

    By Elisha Magolanga, Florence Mugarula Dodoma/Kigoma. An exchange of blows between some ruling CCM carders and those of the main opposition Chadema almost spoilt the countrywide celebrations to mark the formers 36 years since its founding, the cause of the fight being a venue in Dodoma...
  8. The only

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kigoma eneo dogo la Ujiji ni balaa, Tanga haioni ndani...

    Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda mwingi shughuli wanayoitegemea ni mawese huvuna na kuchuja baasi, na vijana ni wavuvi. Les go to ma...
Back
Top Bottom