Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

msovero

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
839
1,472
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.

Jionee mwenyewe

1684688877072.jpg
1684688856723.jpg
 
Millard Ayo hanaga propaganda mkuu hii ni kweli tupu
Mbowe ni kama vile analazimisha tu. Ameshafanya kila linalowezekana na ni lijendi kwenye siasa za upinzani. Apumzike sasa abakie kuwa mshauri tu. Ni wakati wa akina Tundu, Heche na wengine nao kujaribu. Yaani Mbowe utafikiri siyo yeye....
 
Nilitoa ushauri huu vilazza wakatukana.

Mwanadamu ni vyema ukasoma alama za nyakati.
Wanatumia nguvu kubwa kumdunisha Lissu.

Ukweli ni kwamba Mbowe amekosa ladha ya upinzani
 
Back
Top Bottom