kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    Sitasahau niliposimama kwenye treni kutoka Kigoma hadi Singida

    Ndugu zangu huu usafiri ni mzuri Ila usipande ile treni yetu ya wanyonge japo gharama zimepishana kidogo, mfano kutoka Tabora mpaka Kigoma ya wanyonge ni 12500 na ile express ni 16100 kwa wakati huo ila sijajua kwa sasa. Ilikuwa hivi; wakati nasafari kutoka Kigoma kwenda Singida nilikuta train...
  2. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  3. BARD AI

    Kigoma: Anayetuhumiwa kuua watu 7 wa familia moja apandishwa Kizimbani

    Mshtakiwa wa kesi ya mauaji ya watu saba wa familia moja, yalitokea katika kijiji cha Kiganza mkoani hapa, Peter Moris (33), amefikishwa katika Mahakama KuuKanda ya Kigoma, kwa mara ya kwanza na kusomewa maelezo ya kosa ambapo alikana kuhusika na tukio hilo. Akisomewa maelezo hayo leo Februari...
  4. saidoo25

    Mwigulu mjibu Mpina ishu ya Mkataba wa SGR Tabora Kigoma

    Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa. Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
  5. Brain Kingdom

    Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  6. Chizi Maarifa

    Serikali iingilie kati suala hili la Wanaume wa Kigoma

    Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao. Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na kulazimika kunyamaa ili kuepusha hali ya sintofahamu katika jamii.hata hivyo waswahili walisema "mwenda...
  7. J

    Mti wa ajabu huku Kigoma umenishangaza sana, jina lake unaitwaje?

    Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
  8. N

    Kigoma ya sasa siyo kama ya zamani

    Rais Samia Suluhu anaandika historia ya kuwa mmoja kati ya viongozi nchini waliopeleka miradi mikubwa ya kimaendeleo Kigoma na kuubadilisha mkoa wa kigoma kutoka mkoa uliokuwa nyuma kimiundombinu na kuwa mkoa wa kisasa. Hiyo inatokana na Rais Samia Suluhu kupeleka miradi mikubwa ya barabara...
  9. mdukuzi

    Geography is real: Nipo Kigoma saa moja na nusu usiku jua bado linawaka

    Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana. Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  11. S

    Tumepigwa tena? Tovuti ya TRC haina hata mpango kazi wa ujenzi wa SGR Tabora - Kigoma

    Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma. Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena? Soma mwenyewe hapa...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Desemba, 2022. Utiaji saini huo utahusisha kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli na Kampuni za ubia wa CCECC na...
  13. R

    Mabehewa mapya 22 ya reli ya zamani yaanza safari kuelekea Kigoma

    Dar es Salaam. Ujio wa mabehewa mapya 22 yanayotumika reli ya kati na kaskazini umeleta matumaini ya uhakika wa usafiri kwa abiria wanaosafiri kupitia njia hizo. Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022 asubuhi Balilusa Kitunda akiwa stesheni ya Kamata tayari kuanza safari...
  14. S

    Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  15. Master Stance

    Naomba mawasiliano ya VETA Kigoma

    Habarini ndugu, Yeyote mwenye mawasiliano na chuo cha ufundi stadi veta kigoma. Naomba anipatie nipo nje ya Muda asante.
  16. J

    Hivi Kigoma kukoje? Wakulima wanakaa foleni wiki nzima kusubiri mbolea ya Ruzuku

    Kigoma wanaishije lakini? Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa Ndio najiuliza Kigoma ni Tanzania kweli?
  17. B

    Vyumba vya kupanga Kigoma, Kibondo ni bei gani?

    Habar wakuu! Nauliza wastani wa bei za vyumba maeneno ya kibondo mjini mkoani kigoma. Asante
  18. Rashda Zunde

    Hongera Rais Samia kwa kuifungua Kigoma kiuchumi

    Uamuzi wa serikali wa kuweka malengo ya kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati, kiuwekezaji na kibiashara, unastahili kuungwa mkono na Watanzania wote kwa kuwa umelenga kukuza uchumi. Rais Samia akiwa kwenye ziara ya siku nne mkoani Kigoma, alifungua barabara ya Kidahwe hadi Kasulu yenye...
  19. S

    Zitto Kabwe ameusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Au kasukumwa na uchawa pamoja na uCCM B?

    Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko. 2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake. Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni...
  20. J

    Rais Samia atoa msaada wa mahitaji kwa watoto njiti Kigoma

    RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na...
Back
Top Bottom