Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile...
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.
Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
Kuna maoni mseto katika kila kigezo.
Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali.
Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa.
Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile.
Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi?
Kwa...
Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa.
Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao.
Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo.
Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni...
CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao.
Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns.
Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda.
Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga.
Pot no. 4: Etuile...
Waziri wa mambo ya ndani Uingereza, Suella Braverman, amesema mtu kusema ananyanyaswa ama kutishiwa kushitakiwa au uhai wake, kwenye nchi yake ya asili kwa vile tu ni shoga, kusiwe sifa ya mtu kukubaliwa kuwa mkimbizi kwenye nchi za ulaya na Marekani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Safia Jongo, wakati alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga Wilayani Chato katika Mkoa wa Geita Septemba 20, 2023.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini...
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.
Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.
So...
Kigezo kiwe ni -urais , minimum qualification Masters ubunge minimum qualification burchelor degree. Udiwani minimum qualification Diploma.
Uongozi unataka mtu mwenye upeo mkubwa tukiacha vipaji lkn elimu inamfanya mtu awe na upeo Mpana zaidi wa kufanya reasoning&judgement, ili kuendana na Kasi...
kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu).
Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe.
Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini pekee?
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.
Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.