kigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usiangalie kigezo cha "Mambo mengi" tu kwa mchumba wako zingatia na "Financial management skills" zake.

    Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha. Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki na kunavumilika sana na wanandoa walio wengi, ili mradi tu mwenzi wako asikuone. Cha kuzingatia...
  3. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakemee kwa nguvu zote kigezo cha kujiunga na majeshi kwa sharti la kupitia JKT

    Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi. Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani? Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
  5. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha miaka miwili kupima utawala kimeanza lini?

    Tangu nipate ufahamu juu ya mambo ya siasa ni muda sasa. Wakati Hayati Mkapa anaingia madarakani sikuwa najua habari za siasa, lakini wakati wa Kiwete nilishajua mbivu na mbichi. Kikwete alipoingia madarakani alipimwa utendaji wake ndani ya siku mia. Magufuli nae alipoingia madarakani alipimwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania "Ili mradi unapumua" ndiyo kigezo kilichobakia

    "Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lakini sasa nina 30 nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu. Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja. My take: Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Uzoefu wa kazi usiwe kigezo kwenye kuajiriwa

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana. Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kama Mgunda anakigezo napendekeza awe Kocha Mkuu wa SSC

    Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya. Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club. Wataalam mnasemaje?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kigezo sahihi pindi unapochagua mtu wa kuoa?

    Habarini naomba kuuliza, ukiachana na kumpenda mpenzi wako je, ni kigezo gani kingine unaangalia mpaka unafikia kusema huyu anafaa kuwa mke? Na je, mdada anaesali sana ni moja ya kigezo? Je, mtu akiwa na hofu ya Mungu inatosha kuwa kigezo? Au kuna mengine tofauti na hayo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Caf inajua kwamba Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi Afrika mashariki, hiki ni kigezo c kucheza super league, Sherehe za ubingwa zilitikisa africa

    Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana .... Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani kinatumika kuwaita waliopigana vita kuu ya dunia mashujaa?

    Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu zetu walihusika katika biashara ya watumwa kwa kuwakata ndugu zao na kuwauza kwa wageni. Wakati...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha mendeleo ya nchi ni maisha bora ya mwananchi wa kawaida

    Pili Mwinyi Hivi majuzi katika pekuapekua zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na msemo mmoja ambao ulinifanya nitulie kwanza na kuutafakari kwa kina. Msemo huu umeshiba busara na hekima kubwa kama utauangalia kwa jicho linaloona, na hata kwa wale ambao msemo huu unawagusa moja kwa moja...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

    Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kodi inakatwa Kwa watu wazalishaji, umri sio kigezo

    KODI IKATWE KWA WATU WAZALISHAJI; UMRI SIO KIGEZO. Anaandika Robert Heriel. Serikali inayowajibu wa kutengeneza mazingira Kwa watu wake kujizalishia mali, serikali makini ni Ile inayofanya lolote, halali au haramu ili Raia wake wapate maisha Bora. Niliwahi sema hapa, Bila kuvamia nchi zingine...
  20. Akili Sina

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
Back
Top Bottom