sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni mpaka uchunguze sana kuona imeizidi sony, kwa bajeti ya laki 7 huko waweza pata xiaomi zina kamera nzuri zaidi ila kwakweli ukilinganisha na zingine unakuta zinapiga picha fresh labda ni mambo madogo madogo tu zimezidiana kama wide view, colour, n.k.
Binafsi kwa sasa naangalia zaidi portability, 5g network, uwezo wa kukaa na chaji na system on chip, n.k. lakini kwa kigezo cha camera sikipi kipaunbele sana maana najua hata nikiwa na bajeti ya laki 5 sikosi simu yenye kamera kali tu, ni kuzidiana mambo madogo madogo sio vitu significant sana
Kwa mtazamo wako, bado kigezo cha camera ni cha kukipa uzito kiasi hicho?