Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo.

Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi. Atagundua baiskeli lakini atasema atengeneze pikipiki, atagundua pikipiki lakini haita mtosha atataka atengeneze gari and so on and on.

Basi kama vile mwanaume, alihitaji mwanamke mchapakazi, then baadae akataka mwenye sura nzuri, baadae akataka mzuri wa umbo, baade akataka mwenye chuchu nene, leo anataka mwenye makalio makubwa, sijui nini kitafata katika matamanio ya nature hii.

Kama vile mababu wa zamani sana walijua sex ni one way, kwa style moja ya kulala. Zikaja style nyingi kweli, then wakaona vagina haitoshi sasa ni mwendo wa anal and oral sex, sijui tena kitafata katika asili ya mapenzi na ngono.

So haya yote katika mapenzi, urembo na fashion yanayotikisa wanawake ni kutokana na mabadiriko ya matamanio ya mwanaume.

Kumbuka nilichosema , mwanadamu ana asili ya kutaka zaidi ya nature aliozea hii inapelekea kuvumbua mambo amabayo yanaingia katika sytem then yanajenga utamaduni wa kuonekana kawaida.

Screenshot_20231017_174947_Pinterest.jpg
68df479a1313e9b83fde7528b39ec7a3.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom