Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,254
Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo.

Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control.

Hizo kazi watu wa kozi zote za petroleum au mafuta na gesi wanaweza kuzifanya.

Ondoeni kigezo cha engineering registration bord (ERB) kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum). Wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM (Common Qualification System) kinachoratibiwa na EWURA na PURA. EWURA na PURA pekee ndio wenye uwezo wa kudhibiti kozi za mafuta na gesi (petroleum).
 
Swali, anayetaja vigezo/sifa za mfanyakazi ni Mwajiri au PSRS?
Kuna wakati utumishi walikujaga chuo wakatuambia hizi qualifications zinaandaliwa na pande mbili(utumishi na taasisi husika)lakini kazi inapotangazwa qualifications zinaletwa na taasisi
Kipindi hicho qualifications zetu zilikuwa hazipo kwenye taasisi nyingi kwahiyo utumishi wakaenda kuandaa na taasisi mbali mbali qualifications zetu zikawepo kwenye taasisi hizo
 
Sasa hii hoja ya mleta mada inabidi aielekeze kwa waajiri maana wao ndio wana nguvu ya kuandaa qualification za watu wanaowataka.

PSRS nadhani wanahusika kwenye kushauri zaidi na hawawezi kupindua kuhusu qualification maana mwajira ndio anataka mtu wa namna gani kulingana na kazi anayotaka akasaidiwe
 
Yes ishu ipo kwa mwajiri anapeleka yeye anataka watu gani ,waliosomea nini maana yeye ndo anaofanya nao kazi kule
 
Back
Top Bottom