Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

Utumishi wako fair

JF-Expert Member
Nov 12, 2021
431
1,335
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.

Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.

So nauliza, Kesho likitoka tangazo la kazi la halmshauri ya wilaya ya Tandahimba na wanatakiwa wana Tandahimba tu?? Watakuwa wameleta ubaguzi??
 
Wanavyofanya NSSF ni ubaguzi wa wazi kwani wanawanyima fursa watanzania fursa ya kuajiriwa kwa kigezo cha kujitolea kwao ilihali hizo nafasi za kujitolea pia kama huna connection huzipati, bora mchakato ulivyokuwa PSRS
 
Serikali isipoingilia kati basi jobless watajua chakufanya
Huu ni ubaguzi Tunabaguana Ndani ya nchi yetu, Siku zitakuja Kampuni binafsi na Tangazo la Ajira zitasema sharti uwe umejitolea.... Je kila Taasisi ikisema inataka watu wanaojitolea Tutafika wapi?? Na Je ....Leo mtu akitaka nafasi ya Kujitolea Sehemu kama NSSF ? apitie wapi?? Afanye Nini?? Kwann nafasi za kujitolea hawatangazi.... Nssf kuna Watu more than 300+ wanajitolea Nssf?
 
Inafikirisha sana
 
Atari sana kwanza hawajui tuu yaani mtu kasoma weee kwashidaa mpaka amezeeka alafu mnataka akajitolee aache kutafuta hata miambili miatatu ya kusukuma maisha mbele kweli hata mm siungani na hili la kujitolea eti ndio uwe na sifa akat mnajua kabisa kujitolea mkiendekeza kuna baadhi ata ya taasisi watakua hawaajili tena kwa kutegemea kua wapo wa kujitolea mbona Mungu ibariki Tanzania
 
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.

Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.

So nauliza, Kesho likitoka tangazo la kazi la halmshauri ya wilaya ya Tandahimba na wanatakiwa wana Tandahimba tu?? Watakuwa wameleta ubaguzi??
Bado unaombaga kazi🙄🙄🙄....kwa kifupi kazi hazipo
 
Back
Top Bottom