Elimu iwe kigezo cha kwanza kwa mtu anayeutaka udiwani, ubunge na urais

Hennes kolon

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
673
1,287
Kigezo kiwe ni -urais , minimum qualification Masters ubunge minimum qualification burchelor degree. Udiwani minimum qualification Diploma.

Uongozi unataka mtu mwenye upeo mkubwa tukiacha vipaji lkn elimu inamfanya mtu awe na upeo Mpana zaidi wa kufanya reasoning&judgement, ili kuendana na Kasi ya dunia , ndio maana huwa nawakubali Vatican , kule kigezo kikubwa cha kuwa kiongozi ni elimu Tena sio ya kuungaunga , elimu ambayo ni clean angalia ma Padre wao wote ni clean, kuanzia form 4 ,six Hadi vyuo ni cleam tupu, na ili uwe padree kigezo namba one lazima uwe na degree au zaidi. Na ndio maana wako smart Sana kuliko taaasisi yeyote duniani .

Angalia mikataba ya kimataifa kama huu uliokuja kwetu wa DP, ulivyoleta mkanganyiko kwa viongozi wetu , naamini kilicholeta shida ni elimu , wameshindwa kutafsiri na kuvielewa vipengele muhimu ndani ya mkataba, watu wameanguka mi signatory hovyohovyo , mpaka wahusika wenyewe wa Dp wakagundua , viongozi wetu Hawana uwezo wa kutafsiri lugha za kimikataba ni aibu kubwa kwa taifa, lakini pia ni hasara kubwa kwa taifa.

Na nukuu (Mh. Ndugai) anasema kwenye mambo ya negotiation lazima upeleko front watu wako ambao ni cream, wenye uwezo wa kupembua mambo kwa kina na kwa upana, watu ambao ni A plus zimenyooka , maana ni watu wako lazima uwapeleke flont wakusaidie .sio kigezo Cha sinior, unaweza kuwa sinior lkn makalai tupu wewe bado ni gentleman.
Nakubaliana na mh. ndugai 100%.

Afya ya taifa ni elimu, muhimu sana kwa viongozi wetu.
 
Napingana nawe,

ELIMU hata Mbarawa, anayo.

Kigezo kikuu ni Awe AMEOKOKA mwenye HOFU ya Mungu.

NB: Siongelei dini Wala dhehebu hapa, maana WOKOVU ni Kwa wote waaminio bila kujali dini, kabila ,Elimu, dhehebu nk nk.

ELIMU kiwe kigezo no 2. Na vigezo vingine vifuate.
 
kigezo kiwe ni -
urais , minimum qualification Masters . ubunge minimum qualification burchelor degree . udiwani minimum qualification Diploma.

uongozi unataka mtu mwenye upeo mkubwa tukiacha vipaji lkn elimu inamfanya mtu awe na upeo Mpana zaidi wa kufanya reasoning&judgement, ili kuendana na Kasi ya dunia , ndio maana huwa nawakubali Vatican , kule kigezo kikubwa Cha kuwa kiongozi ni elimu Tena sio ya kuungaunga , elimu ambayo ni clean . angalia ma Padre wao wote ni clean , kuanzia form 4 ,six Hadi vyuo ni cleam tupu, na ili uwe padree kigezo namba one lazima uwe na degree au zaidi.Na ndio maana wako smart Sana kuliko taaasisi yeyote duniani .

angalia mikataba ya kimataifa Kama huu uliokuja kwetu wa DP , ulivyoleta mkanganyiko kwa viongozi wetu , naamini kilicholeta shida ni elimu , wameshindwa kutafsiri na kuvielewa vipengele muhimu ndani ya mkataba, watu wameanguka mi signatory hovyohovyo , mpaka wahusika wenyewe wa Dp wakagundua , viongozi wetu Hawana uwezo wa kutafsiri lugha za kimikataba ni aibu kubwa kwa taifa , lakini pia ni hasara kubwa kwa taifa.

Na nukuu (mh. ndugai). anasema , kwenye mambo ya negotiation lazima upeleko front watu wako ambao ni cleam , wenye uwezo wa kupembua mambo kwa kina na kwa upana, watu ambao ni A plus zimenyooka , maana ni watu wako lazima uwapeleke flont wakusaidie .sio kigezo Cha sinior , unaweza kuwa sinior lkn makalai tupu wewe bado ni gentleman.
Imethibitika kwamba vyeti vya shule haviondoi ujinga na upumbavu wa mtu.

Hata waliosaini Mkataba na DP World na wao walienda shule pia.
Wanaotupatia huduma mbovu na wao walienda shule. Baraza la Mawaziri, Halmashsuri, Taasisi na Sectors, Polisi, huko kote kuna watu wenye shule zao, ila yanayoendelea wote tunayaona.
 
Elimu ya bachelor inatosha kwenye mambo mengi sana
kwenye urais haitoshi . kwanza elimu inayofaa kwenye mambo ya critical thinking , yaani kwenye kufikiri Mambo makubwa zaidi ni masters . hiyo degree ni ordinary kwa dunia ya Sasa yenye watu watukutu na wajanjawajanja.
 
Back
Top Bottom