kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Mathanzua

    Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

    Shetani kazi yake ni kuharibu, kuua na kuiba, ndivyo Biblia inavyosema. Kwa hiyo kila mahali utakapo shuhudia uharibifu, vifo na wizi, ni lazima mkono wa Shetani upo. Si ajabu kwa hiyo kwamba Shetani hufurahia matukio hayo na hufanya kila mbinu chafu ili watu waibiwe, wafe na kuwe na uharibifu...
  2. Sky Eclat

    Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

    Prince Philip ndiye mwana familia ya kifalme mwenye umri mkubwa zaidi. Akiwa na miaka 99 anategemea kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa mwezi Juni mwaka huu. Hali ya afya yake imekuwa tete na familia imeanza kujiandaa kupokea habari zozote. ====== The Queen's husband Prince Philip, 99, has had...
  3. Erythrocyte

    Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

    Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo . Chanzo : MwanaHalisi TV
  4. K

    Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
  5. Midimay

    Bora kifo cha wengi kuliko chetu peke yetu

    Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote. Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories). Hali hii imechajishwa sana na ushindani wa Marekani na China juu ya kuwa Mwenye Nguvu wa dunia(Global Power)...
  6. Analogia Malenga

    Rais Magufuli atangaza siku tatu za Maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad

    Kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad kilichotokea Februari 17, Rais wa Tanzania ametangaza maombolezo ya siku tatu. Maombolezo ya kitaifa yanaanza Februari 17, ambapo bendera zote zitapepea nusu mlingoti. Aidha Rais awaomba wafiwa wote wawe na moyo...
  7. K

    Kifo cha Jaji Rweyemamu ni funzo la kuishi wa uadilifu

    Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu. Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu. Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye...
  8. Sky Eclat

    Kifo ndiyo muuaji mkubwa wa uhai

  9. Terrible Teen

    TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma. Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo. Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema. Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha...
  10. Roving Journalist

    TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  11. Sky Eclat

    Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

    RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
  12. comte

    Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

    “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17). Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4). Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
  13. Tomaa Mireni

    Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu? Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
  14. Kamanda Asiyechoka

    Askofu Mwamakula mbona humkemei Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe?

    Makamanda Pipo's power ✌️ Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya. Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele...
  15. D

    Najiuliza ni lini magonjwa mengine yaliacha kuua? Mbona kila kifo sasa ni Corona?

    Najua tumepoteza wandugu wetu kadhaa kutokana na ugonjwa huu wa COVID-19. Mungu awarehemu marehemu na atupe faraja wafiwa. Lakini najiuliza kwanini kila kifo kinachotokea sasa kinahusishwa na Coronavirus, hasahasa kikitokea kwa watu mashuhuri. Naamini watu wengi mashuhuri waliokufa kabla ya...
  16. dubu

    Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  17. KENZY

    Tusitishane: Hakuna maisha baada ya kifo!

    Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!. Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
  18. Da Vinci XV

    QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

    QUANTUM IMMOTALITY Wasaalam kuna mtaalamu alipata kusema "UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA" kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini. Tumejifunza vingi sana...
  19. J

    Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

    Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
Back
Top Bottom