Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

Escort King

Member
May 20, 2021
12
20
Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika.

Ndio kusema Viongozi hawana taarifa ya msiba huu au hawajui vinasaba vya Kenneth Kaunda na Yanga?

====== U P D A T E S====
Tunawashukuru Viongozi wa Yanga KWA kuwa wasikivu na kulifanyia KAZI suala hili. Asanteni

Screenshot_20210618-154606~3.png
 
Mzee Mpili a.k.a mzee wa nyuklia anasema hivi''wanachama wa Yanga kadi namba 1 ni Nyerere,kadi namba 2 Mzee Karume na kadi namba 3 ni mzee Keneth Kaunda.
Lakini cha ajabu founder wa klabu ya Yanga wanafariki wenye klabu hawajali.
 
Unaongea bila kufanya uchunguzi au kusubiri, haya vipi limekuingia la kati au sio.
 
Imetolewa baada ya kuwananga hapa. Angalia muda wa taarifa yao ulinganishe na thread hii

Tujipongeze kwa kuwakumbusha wajibu wao
UTOPOLO hawajawahi kuwa na akili hata kidogo, yaani usingewashtua wala wasingejua
 
Tanga waache utani aisee pale kaunda watapatengeneza vipi pale panajaa maji mvua zikinyesha watafute sehemu Ingine wajenge uwanja waupe jina la kaunda
 
Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika.

Ndio kusema Viongozi hawana taarifa ya msiba huu au hawajui vinasaba vya Kenneth Kaunda na Yanga?

====== U P D A T E S====
Tunawashukuru Viongozi wa Yanga KWA kuwa wasikivu na kulifanyia KAZI suala hili. Asanteni

View attachment 1822790
Yanga sio mbumbumbu
 
Back
Top Bottom