kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

    Wanawake:- Jumatatu - kichwa kinauma Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana Jumatano - Nina blidi Alhamis - Nina blidi Ijumaa - Nina blidi Jumamosi - Nina blidi Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka Jumatatu - kichwa kinaniuma Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote...
  2. Kanungila Karim

    Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

    Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
  3. M

    Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za uchaguzi wa mwaka 2015 ambazo yeye alishiriki kikamilifu ndizo leo hii tunaishi kwa consequences...
  4. Miss Zomboko

    Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  5. GENTAMYCINE

    GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  6. B

    Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  7. J

    GE2020 Fahamu haya kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Kujitoa, Kifo au Kutokuwepo kwa Wagombea

    Mgombea Kujitoa Kwa mujibu wa Kifungu cha 48 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mgombea anaweza kujitoa kugombea kwa kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi yeye mwenyewe barua ya kujitoa pamoja na tamko la kujitoa alilotoa mbele ya Hakimu. Nakala ya barua ya kujitoa ipelekwe Tawi la...
  8. Jesuitdon

    Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

    #SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo. Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu...
  9. T

    Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  10. The Humble Dreamer

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Wakuu Salaam: Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani. Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa. Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati...
  11. Analogia Malenga

    Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu. Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
  12. Infantry Soldier

    Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania kuelekea 14 October. Kwanini Nyerere day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (April 13)? What's the logic behind? Ina maana kifo ni muhimu sana kuliko...
  13. The Palm Tree

    Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

    Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28. Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
  14. J

    CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  15. The Sheriff

    Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    Watu 71 wa kijiji cha Liula wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamenusurika kifo baada ya kunywa kinywaji aina togwa kinachodhaniwa kuwa na sumu wakiwa kwenye moja ya sherehe ya kidini maarufu kama sadaka. Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw.Pololeti Kamando Mgema amepiga marufuku matumizi ya togwa...
  16. T

    Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

    Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia wa Taifa hili roho yake ameitoa Kwa Taifa hili tena huenda Sisi tuna sema Kwa maneno ila wapo ambao...
  17. Fya-fyafya

    Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Ndugu, Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanywa na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji...
  18. Fya-fyafya

    GE2020 Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
  19. Infantry Soldier

    Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  20. Erythrocyte

    GE2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

    Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Back
Top Bottom