kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. matumbo

    JamiiForums Tanzania Albert Mangwea (Special Thread)

    Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa kumuaga marehemu Albert Mangwea, katika viwanja vya Leaders Club leo. Wasanii wanaaga Mbunge Idd...
  2. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Paka Oscar alias Unsinkable Sam, aliyenusurika kifo mara tatu wakati wa vita vya Dunia

    Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu. Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ikitokea mkanusurika kifo mtasimama kwa ajenda gani kupambana na Ccm?

    Nauliza hili swali kwa wale wamiliki wa chama ambacho kimejaa husuda dhidi ya taifa letu. Maana hapo awali walikuwa wakisema tunahitaji tupate rais ambae ni mzalendo na mchapa kazi. Sasa Mungu amesaidia JPM amepatikana na kwa uzalendo na ushujaa amedhibiti rushwa na ubadhirifu. Kwa uzalendo na...
  4. Kipenseli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Vidonda vya Tumbo vinaweza kupelekea Umauti?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine zimenipa khofu. Nataka niamini tunkwa ushuhuda ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kupelekea kifo? na je...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

    Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
  6. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Nilipata akili baada ya kifo cha Baba yangu

    Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri...
  7. Witmak255

    JamiiForums Tanzania Kuna ugonjwa ukiumwa unakuwa unakiona kifo

    Kama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

    Sasa hivi. Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma. Bahati nzuri picha yote imerekodiwa. Majina na...
  9. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Juma Jerry (almaarufu Mzee wa Mbezi) wa TOT afariki Dunia

    Aliyekuwa mpiga kinanda nguli wa Kikundi cha CCM cha Tanzania One Theatre (TOT) au TOT Plus Juma Jerry au Mzee wa Mbezi ( dunia (Pichani) amefariki Akithibitisha kifo hicho Mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini amesema Jerry amefariki dunia leo katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  11. Somoche

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Tangu kifo cha Billionea Reginald Mengi Tunamkumbukaje? Ni nini tumejifunza kutokana na maisha yake? Je, pengo lake limezibwa?

    Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa? Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

    Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu atuma salamu za pole kwa kifo cha Getrude Rwakatare. Amuombea upepo wa kisulisuli

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa kutumia ukurasa wa Twitter ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare. Amesema "Kwa Masikitiko na mshtuko nimepokea taarifa ya kifo cha aliyekuwa Askofu na Mchungaji wa Kanisa...
  14. Sci-Fi

    JamiiForums Tanzania Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Habarini wakuu wa jukwaa hili. Leo nimeona ni vema tushirikishane machache kuhusu COVID-19 lakini hasa kuihusu chanjo na maandalizi ya kumtawala binadamu. Hivi karibuni kwenye mahojiano na Reddit Bill Gates alisema kwamba “digital certificates” zitatumika kubaini ni nani aliyepokea chanjo ya...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    TANZIA Nguli wa habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai. Utangulizi Marehemu Marin Hassan...
  16. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

    Wale wa kampuni za ukaguzi al maarufu kama audit firms kama pwc, delloite, kpmg, ey mkae mkijiandaa kufa. Hii nawapa tu tahadhari Juzi mlimsikia CAG akisema amepunguza gharama za ukaguzi kutoka kwenye makampuni binafsi yaliyokua yakikagua taasisi za serikali kubwa kama benki kuu. Makampuni...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Urais Afrika

  18. beth

    JamiiForums Tanzania Sudani: Waziri Mkuu Abdalla Hamdok anusurika kifo

    Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amenusurika kifo kufuatia jaribio la mauaji lililotekelezwa mapema leo asubuhi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum. Taarifa kutoka shirika la habari la Taifa hilo imeeleza kuwa Hamdok amepelekwa kwenye eneo salama baada ya mlipuko huo uliolenga msafara...
  19. Matanga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

    Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani, lakini Perpetua aliupokea Ukristo na kuwa mfuata kamili wa Kristo, japo historia haionyeshi ni...
  20. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanamsaka binti wa miaka 13 kufuatia kifo cha mtoto wa miaka 5

    Wapelelezi wa kaunti ya Kitui wanamtafuta binti wa miaka 13 wakimhusisha na mauaji ya kijana wa miaka 5 ambaye mwili wake ulikutwa ukiwa umetupwa kwenye kichaka kilicho karibu na mto Mutendea. Taarifa zinaeleza kuwa siku ya ijumaa wawili hao walikwenda kuchota maji katika mto uliopo karibu na...
Back
Top Bottom