Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,978
6,782
Wakuu Salam kwenu,

Naenda kwenye mada moja kwa moja

UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,

Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL hospital , hasa iliusu intern na wanafunzi Zi hasa wafanyiao hapo, ok wenda ulikua ni uongo au ukweli maana hatukupata mrejesho,.

Sasa ndugu zangu ipo taarifa imenifikia, kwamba Kuna kijana alikua anaendelea na masomo mwaka wa tano , ila ipo idara ilikua KAZI yake ni kumkandamiza kila akiinua kichwa wanakula kichwa, kama msemo ulivyo katika vyuo vya Afrika hasa tz,

Kwa taarifa nilizopowe zinadai sio kwamba marehem hakuwa vizuri kichwani but ni hulka ya idara husika ambazo hazizidi mbili ambazo zimekua na Tabia ya hovyo na si kila mmoja kwenye idara bali ni wachache wao ambao wenda wanaharibu idara, kwa makusudi ya malengo yao au la.

Zaidi ni kwamba KWA mjibu wa taharifa zilizofika, huyu mwanafunzi ,marehem hamjui baba Wala mama hivyo wenda waliokua wamsaport ni ndugu au jamaa ,so alitoweka mazingira ya chuon na kwenda Mwanza Kama wiki mbili na nusu zilizopita ,mwisho ulikutwa mwili ulishaharibika vibaya , ila vyanzo ambavyo vimejaribu wasiliana nami au tuma ujumbe ,vinasema mwanzo wa matatizo yake yameanza punde tu baada ya kufailishwa kwenye idara moja aliokua anarotate Kama sehem yake ya masomo Mara KWA mara

Niwaombeni serikali chunguza chanzo Cha kifo chake , Kama ni ukuda wa idara aliyokuwepo ijulikane , na Kama ni uzembe wa viongozi wa chuo basi taratibu zifuatwe , na Kama kajiziru mwenyewe na hakua mwanafunzi ijulikane thanks ,more up to date as I got the information,
 
Kumbe we ni wa kike?
Kwani Rushwa ya ngono haina negative effect kwa sisi vijana wa kiume?

Wa kike anapopewa GPA fake kisa tu katiwa na recture hauoni kwamba na Mimi kama mtoto wa kiume napata matokeo yasiyo na uhalisia kwa kuzidiwa na mtoto wa kike?

Ata wewe pia ina negative effect kwako pia kwa taifa linazalisha wasomi fake

Ndio maana soko la ajira linakuwa gumu na tumetengeneza watoto wasio ajirika popote
 
Dogo mimi brother wako sijui kiingereza ila hiyo sentensi ya mwisho naona umechemka..."more up to date..." Hii ilibidi uandike "more updates..." kwa mujibu wa mwalimu wangu Ras Simba!
 
Kwani Rushwa ya ngono haina negative effect kwa sisi vijana wa kiume?...
Well said mkuu, but nafuatilia and by the way sio siku nyingi naenda Mbeya ,why tumpoteze Dactari kwa ujinga tu this blood will up to them ,hii hakubaliki.

Mfano hao doctors wanaowafanyia watz hivi je walipata first class KWA under graduate zao ,Kama kweli tumempoteza doctor aliepitia mazingira magum just KWA mafala machache, never give up I will fight direct or indirect
 
Hongera ila hujaliwa mpaka sasa?
Rushwa ya ngono,

Rushwa ya ngono,

Bongo ndio maana nawashukuru wazazi wangu kunipeleka kusoma nje.

Elimu isiyo na rushwa ni form four na six tu bongo.

R.I.P kwake poleni kwa majonzi.
 
African professors are good at giving u mental pressure.

By the way , engineers until to date the have failed to build a device for mental pressure measurements.
 
Back
Top Bottom