kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  5. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc: johnthebaptist
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mende

  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

    Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kifo, maisha ni milele

    Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
  10. Slowly

    JamiiForums Tanzania KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

    Habari, Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa. Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 ndani ya siku moja

    Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya kigaidi ya kigeni" na kuwa na "imani potovu", Shirika la Habari la Serikali la Saudi Press Agency...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake Quraishi na kumtaja mrithi wake

    Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla. Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
  17. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

    Wakuu habari za mida hii. Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili. Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha Sheikh Abdallah Rashid Sembe May 1999

    TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999 Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa linaikabili TANU katika Uchaguzi wa Kura Tatu. Kisa chote kile cha dua hii ya Mnyanjani kuanzia Mwalimu...
Back
Top Bottom