kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA Government Deploys Ebola Specialists To Kenya

    The U.S. Public Health Service Commissioned Corps is deploying a team of highly trained officers to Kenya to support the care, monitoring, and quarantine of American citizens departing the Democratic Republic of the Congo as part of a coordinated interagency effort with the State Department and...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reports Confirm U.S. Ebola Specialists En Route to Kenya Despite Court Order

    The United States Public Health Service Commissioned Corps has announced that it is deploying a specialised Ebola response team to Kenya to support the care, monitoring and quarantine of American citizens returning from the Democratic Republic of the Congo (DRC) amid a court suspension. In a...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Cambodia yaagiza Waafrika wote wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026

    Serikali ya Cambodia imetoa tangazo linalowaagiza raia wote wa Afrika, wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026, la sivyo watakamatwa na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za uhamiaji. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Idara Kuu ya Uhamiaji...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kule Kenya kibamia kinaitwa Mobutu Jr? 🤔

    Mkuu Financial Analyst, kuna ukweli gani juu ya hili?
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LSK President Charles Kanjama Opposes Proposed US Ebola Treatment Centre in Kenya

    Law Society of Kenya (LSK) President Charles Kanjama has called on Kenyans to reject a reported proposal by the United States to establish an Ebola treatment centre in the country. Speaking amid growing public debate, Kanjama questioned the transparency and public participation surrounding the...
  7. A

    JamiiForums Tanzania IGP wa Kenya: Askari Polisi tumieni akili, acheni matumizi ya nguvu kupita kiasi. Katiba inazuia

    Kauli ya IGP wa Kenya Kwa Askari wa Kenya "Now, enforcement officers najua mko na kazi ngumu, but I want to appeal to you that even as you carry out enforcement duties, let us do it with a human heart. Let us be human. We are dealing with human people—human beings, we are dealing with people...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Kenya atumia teknolojia ya China kupambana na ugonjwa wa mnyauko wa nyanya

    Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kutengwa Kama Ebola Quarantine Hub ya Marekani

    Nchi ya Kenya sasa imeingia kwa mjadala mkubwa baada ya serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump kupendekeza Kenya iwe quarantine na treatment hub ya watu wa Marekani waliopatikana ama kushukiwa kuwa na Ebola. Mpango huo ukipita, Wamarekani waliotoka maeneo kama Democratic Republic of...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

    Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2 Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Imezipiku China na Kenya na kuwa Chagua namba Moja la Bidhaa ambazo Uganda inaagiza Kutoka Nje ya Nchi

    My Take Sgr ikifika Mwanza & Kigoma Tanzania ndio itakuwa Gulio Kuu la Nchi za Afrika. Hakuna tena kwenda China Wala Dubai Bali Tanzania. Hongera SSH Kwa kazi nzuri,pia soma Ndani ya Miaka 4 Tanzania yapindua meza,yateka soko na kuzigeuza nchi zote majirani kuwa gulio la bidhaa zetu |...
  13. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

    Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa! Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  16. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiktok Removes Over 820,000 Videos In Kenya And Bans 108, 000 Accounts

    TikTok has released its Q4 2025 Community Guidelines Enforcement Report, which shows that more than 820,000 videos were removed in Kenya between October and December 2025 as the platform ramped up efforts to improve online safety and combat dangerous content. TikTok banned 820,552 videos in...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kenya ya kushusha bei ya mafuta baada ya Maandamano

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
  18. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza bei ya mafuta baada ya kutokea maandamano

    Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta. Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Kesho tena tunatembea?” Kenya Yasimama as Matatu, Boda & Uber Strike Continues

    Nairobi imeamka na stress nyingine tena after transport operators announcing kwamba strike itaendelea kesho because talks na serikali zimegongana mbaya. From matatus, boda bodas, Uber mpaka cargo trucks wengi wameamua “hakuna kazi mpaka mafuta ishuke.” Wananchi ndio wamebeba mzigo mkubwa. Leo...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
Back
Top Bottom