Nchi ya Kenya sasa imeingia kwa mjadala mkubwa baada ya serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump kupendekeza Kenya iwe quarantine na treatment hub ya watu wa Marekani waliopatikana ama kushukiwa kuwa na Ebola.
Mpango huo ukipita, Wamarekani waliotoka maeneo kama Democratic Republic of the Congo, Uganda na South Sudan watakuwa wakiletwa Kenya kwa isolation na treatment badala ya kupelekwa Ulaya kama ilivyokuwa hapo awali.
Kwa common mwananchi, jambo la kwanza ni fear. Ebola ni ugonjwa unaojulikana kwa kuua haraka na kuletwa kwa watu walioambukizwa au waliokaribiana na virus hiyo kunaweza kuongeza risk ya spread ikiwa kutakuwa na loopholes kwa mfumo wa afya.
Habari hii pia inaleta mixed reactions. Na swali ni kama mfumo wa afya nchini uko tayari kushughulikia ugonjwa hatari kama Ebola bila kuhatarisha maisha ya wananchi wa kawaida. hofu ingine ni kuwa kuletwa kwa wagonjwa wa Ebola kunaweza kuongeza panic, stigma na hata kuathiri biashara hasa sekta ya tourism na biashara za mipakani.
Hata hivyo, baadhi ya wataalamu wa afya wanaamini Kenya inaweza kunufaika kupitia kuongezwa kwa vifaa vya kisasa, training ya madaktari na uwekezaji katika health sector ikiwa mpango huo utaidhinishwa.
Kwa sasa, serikali ya Kenya bado haijatoa uamuzi rasmi kuhusu pendekezo hilo huku mlipuko wa Ebola ukiendelea kuleta wasiwasi katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati.
Source: Business insider Africa