Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki.
Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia
Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake,
#THIS IS QUITE NOT FAIR,KUFANYIANA HAYA SISI WANA AFRIKA YA MASHARIKI....
Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko.
Ila tukirudi na uhalisia wadogo zangu kaka zangu, kama vipi Baki bongo na ukiondoka basi walau acha maisha hata kesho...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao.
Hatua hiyo inalenga kuzuia...
My Take
Hii itakomesha biashara ya wanawake kubambikia wanaume gharama za Malezi
============
Mahakama ya Bungoma nchini Kenya imeamuru wazazi waliotengana kugawana kwa usawa gharama za kuwalea watoto wao. 🇰🇪
Amri hiyo inahusisha mahitaji ya watoto, ada za shule pamoja na gharama nyingine...
Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.
Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na...
My Take
Tanzania inaendelea kuwa mwalimu wa kuonesha njia.
Ikumbukwe Rais Samia alitoaga agizo Hilo mwaka Jana na kufuatiwa na utekelezaji kama ambavyo Waziri wa biashara wa wakati ule Suleiman Jafo na wenzie walivyotoa orodha za marufuku ya biashara ndogo kufanya na Wachina.
Kenya na Afrika...
Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara...
Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao.
Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
Wabunifu wa maudhui nchini Kenya wanaweza kuanza kupokea mapato ya chini kutoka YouTube baada ya Google kutangaza kuwa itakata asilimia 5 ya mapato ya YouTube kama kodi ya zuio kwa akaunti za AdSense za YouTube zilizosajiliwa nchini Kenya.
Google iliwajulisha wabunifu wa maudhui mnamo Ijumaa...
Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi...
Ruto ametoa kauli hiyo...
genz
ili
kenya
kiongozi
kosa
kukiri makosa
kuua
makosa
mauaji
mwaka
mwaka 2024
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
serikali
ujasiri
uungwana
waandamanaji
Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani.
Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
Kenya leo inaadhimisha miaka 16 tangu Katiba ya Kenya ya 2010 ilipotangazwa rasmi tarehe 27 Agosti 2010, chini ya uongozi wa Rais wa wakati huo, Mwai Kibaki. Katiba hiyo ilileta mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala nchini, ikilenga kupeleka mamlaka karibu na wananchi, kulinda haki zao na...
“Period pain ni kawaida.” Kwa miaka mingi, kauli hii imewafanya wanawake wengi kuvumilia maumivu makali bila kujua kuwa huenda kuna tatizo kubwa zaidi linalohitaji matibabu.
Simulizi ya Natalie Githinji imefungua tena mjadala kuhusu endometriosis nchini Kenya. Natalie, ambaye amekuwa...
Kauli ya Spika wa Bunge la Kenya, Moses Wetang’ula, kuhusu baadhi ya wabunge kupewa barua za ajira za TSC katika Ikulu imezua mjadala mpana nchini, huku maswali yakielekezwa kwenye uwazi, uadilifu na uhuru wa mchakato wa kuajiri walimu wa shule za umma.
Video inayosambaa mitandaoni imeibua...
Mbunge wa Mwingi Central Gideon Mulyungi amezua mjadala baada ya kuionya shirika la Lifewater Canada dhidi ya kuchimba visima katika eneo bunge lake bila kuhusisha jamii na ofisi yake.
Akizungumza katika hafla ya hivi karibuni, Mulyungi alisema shirika hilo lazima lishirikishe wananchi pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.