kenya

  1. Richard

    Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  2. Miss Zomboko

    Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
  3. chiembe

    January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

    Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
  4. Kijakazi

    Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

    Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo. Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani...
  5. Analogia Malenga

    TCAA yazuia KQ kufanya safari Dar, kulipiza maamuzi ya Kenya

    TCAA wamezuia KQ kuleta na kuchukua abiria Dar es salaam kuandia Januri 22, 2024 kama hatua ya kulipiza suala la Mamlaka ya Ndege ya Kenya kuzuia Tanzania kubeba mizigo kutoka Kenya. TCAA wamesema mamlaka ya ndege ya Kenya imekiuka makubaliano yaliyosainiwa na Kenya na Tanzania November 24, 2016.
  6. chiembe

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  7. Suley2019

    Mamlaka ya Uganda yamkamata Waziri wa Zamani wa Kenya akitaka Kusafirisha Dhahabu ya Mamilioni Kuelekea Dubai

    Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
  8. D

    Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

    By AFRICA NEWS Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda. This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo. During an interview...
  9. R

    Bodaboda waishitaki Serikali kwa madai ya kuwatelekeza katika mipango yao, wadai fidia ya Ksh. Bilioni 426 (Tsh. Trilioni 6.7)

    Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia. Kulingana na nyaraka za mahakama...
  10. R

    Nabii Rolinga: Kenya inaongozwa na Mzimu wa Rais wa Kwanza ambaye hakuwahi kuzikwa Hadi Leo.

    Salaam, Shalom!! Kumekucha 2024, Anayejulikana Kwa Jina la Nabii Rolinga, amesema kuwa chanzo Cha Nchi ya Kenya kumwaga Damu Kila Uchaguzi ni sababu ya Mzimu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza Jommo Kenyata. Amedai kuwa Hadi sasa anayetawala Nchi hiyo katika Ulimwengu wa Roho ni Mizimu ya...
  11. B

    Mzozo wa uagizaji mafuta, Uganda yaifikisha Kenya Korti ya Afrika Mashariki

    02 January 2024 MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya Uganda yafikisha mzozo huo Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Uganda inadai bei ya mafuta katika...
  12. The Evil Genius

    Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  13. J

    Watanzania tuige huu Uzalendo: Wafanyabaishara wadogo Kenya waandamana kuunga mkono kodi mpya ya Serikali

    Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania ==== A group of youth on Thursday flocked the streets...
  14. Girland

    Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

    Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza...
  15. The Evil Genius

    Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
  16. raisiajaye

    Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  17. kavulata

    Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  18. R

    Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  19. BARD AI

    Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
Back
Top Bottom