Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29.
Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake.
========================
Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama fidia kwa waathirika wa maandamano ya vijana yaliyojulikana kama maandamano ya Gen Z, yaliyofanyika tarehe 25 Juni 2024.
Mamlaka zinasema fedha hizo zinatarajiwa kutolewa kwa familia zilizopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano hayo kabla ya mwezi Julai mwaka huu.
Kwa mujibu washirika la kutetea haki za binadamu (KNCHR), ambalo limekuwa likifuatilia juhudi za kuhakikisha waathiriwa wanapata haki kutoka kwa serikali ya Kenya, limependekeza fidia ya shilingi milioni 3 za Kenya kwa familia za waliouawa, na shilingi milioni 2 kwa familia za watu waliotoweka wakati wa maandamano hayo.