Kenya yapunguza bei ya mafuta baada ya kutokea maandamano

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,527
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.

Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei ya dizeli nchini Kenya sasa itauzwa kwa Ksh232.86 kwa lita jijini Nairobi kutoka Ksh242.92, huku bei ya petroli ikibaki Ksh214.25.

Bei ya mafuta ya taa imeongezwa kwa Ksh38.60 hadi Ksh191.38 kwa lita.

Bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia usiku wa manane hadi Juni 14.
 
Bado hiyo bei ni kubwa sana ukilinganisha na Nchi yetu. Ila kwa sababu ya umbumbumbu wa CHADEMA na kuwa na akili ndogo baada ya wengi kutokuwa na Elimu kichwani mwao utashangaa wanashangilia na kuona kenya imepunguza bei.

Lakini uhalisia ni kuwa bei yetu sisi ni ndogo sana.

Kwa kuwasaidia ma CHADEMA ni kuwa shilingi 1 ya kenya ni sawa na 20 ya Tanzania. Sasa piga hesabu ujue lita moja ya kenya ni shilingi ngapi kwa Dizeli na petroli ukilinganisha na Tanzania
 
Nchi yenye gesi bado swala la nishati ni changamoto? Waambie mabwana zako wapunguze kula na waondoe tozo za kipuuzi Zinazo sababisha mafuta kupanda.
 
Tozo zitaendelea kama kawaida na hakuna itakayotolewa
Zitaendelea na wewe hutopona kwa huo msoto maana mafuta hayanunuliwi kwa kadi ya CCM.

Yaani ulivyo zezeta huoni hao wakenya wanavyojitambua wameweka maandamano bei imeshuka wewe takataka ya mafisadi unafurahia bei izidi kua juu na wananchi waumie ukifikiri ufahari.

Dunia inaenda kasi watu wataadpt EV ndio mtashika adabu wewe na hao cartels wa mafuta unaowapigia debe hapa.
images (68).jpeg

Na huna habari hiyo sababu ya haka kamkweche ulikopewa na Samuya
 
badala waandamane serikali iwape ardhi walime wakopeshwe wapate ajira wao wanaandamana bei ipunguzwe labda mia 400 tu wakati huohuo wanaendelea kutokuwa na pesa..serikali inapenda matukio kama hayo kwa sababu itawapunguzia mafuta kuna sehemu itawaminya ili ku replace hio tozo ya mafuta
 
View attachment 3590941

Na huna habari hiyo sababu ya haka kamkweche ulikopewa na Samuya
Tana ikiwezekana serikali iongeze zaidi tozo ili tupate pesa nyingi zaidi
 
badala waandamane serikali iwape ardhi walime wakopeshwe wapate ajira wao wanaandamana bei ipunguzwe labda mia 400 tu wakati huohuo wanaendelea kutokuwa na pesa..serikali inapenda matukio kama hayo kwa sababu itawapunguzia mafuta kuna sehemu itawaminya ili ku replace hio tozo ya mafuta
Unataka kusema kuwa Kenya wananchi hawana Ardhi? Yawezekana hujawai kufika Kenya.
USA kutafuta mafuta na gesi nchi ya nchi siyo kuwa hawana au hawachimbi bali ni kuwa wanastrategic ya muda mrefu.

Wafanyabiashara wa Kenya kuonekana Morogoro na Mbozi na sehemu zingine wakisaka chakula haimaanishi kuwa hawalimi, Kenya wanasaka vyakula huku Tanzania then wanazifanyia processing na kusafirisha nje ya Kenya kwa ajili ya faida kubwa. Wale ni wabebari tokea enzi na enzi.

Biashara walianza zamani sana ya kusafirisha mbogamboga, matunda, madini, maua...wanalima kisasa zaidi yetu Tanzania sema sisi maneno mengi vitendo kidogo.
 
badala waandamane serikali iwape ardhi walime wakopeshwe wapate ajira wao wanaandamana bei ipunguzwe labda mia 400 tu wakati huohuo wanaendelea kutokuwa na pesa..serikali inapenda matukio kama hayo kwa sababu itawapunguzia mafuta kuna sehemu itawaminya ili ku replace hio tozo ya mafuta
Acha huko Tz mpandishiwe
Bei za bidhaa,maana hamna kipingamizi wala kuhoji
Na hamna wa kuwatetea

Ova
 
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.

Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei ya dizeli nchini Kenya sasa itauzwa kwa Ksh232.86 kwa lita jijini Nairobi kutoka Ksh242.92, huku bei ya petroli ikibaki Ksh214.25. Bei ya mafuta ya taa imeongezwa kwa Ksh38.60 hadi Ksh191.38 kwa lita. Bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia usiku wa manane hadi Juni 14.
Kumbe inawezekana
 
Bado hiyo bei ni kubwa sana ukilinganisha na Nchi yetu. Ila kwa sababu ya umbumbumbu wa CHADEMA na kuwa na akili ndogo baada ya wengi kutokuwa na Elimu kichwani mwao utashangaa wanashangilia na kuona kenya imepunguza bei.

Lakini uhalisia ni kuwa bei yetu sisi ni ndogo sana.

Kwa kuwasaidia ma CHADEMA ni kuwa shilingi 1 ya kenya ni sawa na 20 ya Tanzania. Sasa piga hesabu ujue lita moja ya kenya ni shilingi ngapi kwa Dizeli na petroli ukilinganisha na Tanzania
Ww jamaa mpumbavu sana,wenzenu kwenye vitu kama hivi siasa uiweka kando,yan umekomalia siasa if hayo ccm wana bei yao na cdm wana bei kumbe wote mnaisoma namba,ugumu wa maisha auchagui chama bwege ww
 
Back
Top Bottom