kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya?

    Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya? Ubalozi wa Kenya Watoa Ufafanuzi
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Aondoka Baada ya Siku 30, Mume Adai Refund ya Sh1.16M ya Mahari, Mbuzi, Chakula na Pombe

    Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika. Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh300M ya Mau Summit–Malaba: Kenya Yapata Grant, Lakini Highway ya Sh130B Bado Haijafadhiliwa Kikamilifu

    Kenya imepata grant kutoka Asian Infrastructure Investment Bank (AIIB) kusaidia maandalizi ya barabara ya Mau Summit–Eldoret–Malaba, project inayokadiriwa kugharimu karibu Sh130 bilioni. Rais William Ruto amesema takriban Sh300 milioni zimepatikana kwa advanced feasibility study ya corridor...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga Unaonunua Ni Halisi? DCI Yafichua Kiwanda cha Siri cha Kupakia Unga Unaodaiwa Kuwa Bandia Kasarani

    DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini. Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15. Ndani ya godown, detectives walipata...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu Wazuiwa Kuongoza Vyama: High Court Yaweka Mipaka ya Ushawishi Baada ya State House

    Mahakama Kuu imeunga mkono sheria inayozuia Rais mstaafu kushikilia nafasi rasmi ya uongozi katika chama cha kisiasa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka madarakani. Justice Lawrence Mugambi alitupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga Section 6 ya Presidential Retirement Benefits Act, akisema...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Airtel Yafunga Fibre Unit Kenya Miaka Miwili Baada ya Launch

    Airtel Africa inafunga Airtel Kenya Telesonic, kampuni yake ya wholesale fibre na internet nchini Kenya, baada ya biashara hiyo kushindwa kupata revenue na kuendelea kurekodi hasara. Financial records zinaonyesha Telesonic ilirekodi hasara ya Sh16.1 milioni mwaka 2025, kutoka Sh2.9 milioni...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Club Imeuzwa, Lakini Madeni Yameachwa? Nairobi City Stars Players Wataka Majibu

    Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa. Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpox yafikia Kaunti 40, Watu 19 wafariki, huku Kenya ikijiandaa na tishio jingine la Ebola

    Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika. Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: “Nimekopa Kidogo”; Treasury: Deni Limeongezeka Sh4.25 Trilioni

    Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia. Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni? Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh 219.3 Milioni zalipwa kuikomboa meli ya mbolea ya Kenya kutoka kwa Maharamia Somalia

    Takribani Sh219.3 milioni zinaripotiwa kulipwa kama fidia ili kuikomboa meli iliyokuwa imebeba mbolea kuelekea Kenya, baada ya kutekwa na maharamia katika pwani ya Somalia kwa zaidi ya miezi minne. Meli hiyo, MV Sward, ilitekwa Aprili 26, 2026 ikiwa njiani kuelekea Mombasa. EU Naval Force...
  14. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Kenya yaingia makubaliano ya kuagiza mahindi kutoka Zambia kukabiliana na upungufu wa chakula

    Kenya imesaini makubaliano ya kuagiza tani 540,000 za mahindi kutoka Zambia ili kuongeza upatikanaji wa nafaka hiyo baada ya uzalishaji wa mahindi meupe nchini Kenya kushuka hadi kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka saba. Kwa zingatio la makubaliano hayo, Zambia itauza mahindi ya...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI picha na video hizi ni za matukio yanayoendelea nchini kenya?

    Kumekuwa na video zinazosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kumefanyika maandamano nchini Kenya kupinga hatua ya Serikali ya kuwaondoa wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo nchini humo.
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgeni Anataka Kufanya Kazi Kenya? Hivi Ndivyo Work Permit Inapatikana, Gharama na Masharti Yake

    Katikati ya mjadala unaoendelea kuhusu wageni wanaofanya kazi na biashara nchini Kenya, swali moja muhimu limejitokeza: Mgeni anapata wapi ruhusa ya kufanya kazi Kenya, na anahitaji nini? Kwanza, kuruhusiwa kuingia Kenya hakumaanishi moja kwa moja kwamba mtu ameruhusiwa kufanya kazi au...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutokea kwa Bikira Maria ukutani kwaleta taharuki ya mahujaji na nyumba kuvunjwa huko Kisii, Kenya!

    Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ekari 15,000 za Misitu Kuondolewa Hadhi: Nani Anasubiri Kunufaika?

    Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki. Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa lisio na watu wenye busara wanaiga na yapo ambayo siyo ya kuiga

    Hili suala la iga iga kila ujinga litakuja siku moja iangamiza kenya,walianza kwa kuparamia suala la Demokrasia Ikawafyeka wao wenyewe sasa naona wapo na xenophobia ya aina yake, #THIS IS QUITE NOT FAIR,KUFANYIANA HAYA SISI WANA AFRIKA YA MASHARIKI....
Back
Top Bottom